Wadau nimeona hii degree ya secretarial studies and public administration inatolewa na chuo cha utumishi wa uma Dar(TPSC), naomba mwenye uzoefu wa hii taaluma anipe majukumu ya kila siku ya mtu mwenye taaluma hii akiwa kazini na pia maeneo anayoweza kufanyia kazi. Na ndani yake kwa mapana unasomea kozi ipi na ipi(kwa aliyeona prospectus ya hii kozi kwenye hiki chuo).