Amejibu Specialist huyo usimbishie bw mdogo.hauifahamu hii kozi vizuri.
Amejibu Specialist huyo usimbishie bw mdogo.hauifahamu hii kozi vizuri.
Amejibu Specialist huyo usimbishie bw mdogo.
Katibu muhtasi, nadhanNi kozi mpya kwahiyo hata kwenye soko la ajira miundo ya waajiri haijaitambua. Secretarial inahusu kazi zote za Katibu Mahsusi yaani PS (mchapaji wa barua na mpokezi wa wageni kwenye Ofisi ya Kiongozi) Public Admin inahusu utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu. Kwahiyo hiyo kozi imechanganya Mafunzo ya Ukondakta na Udereva humo humo kwenye soko la ajira utachagua kuwa Konda au Dereva.
sema ahsante halafu uje kulia badae nilichojifunzi kmni kwamba "HAIFAI KUKIMBILIA COURSE MPYA HATA SIKU MOJA" waulize wale waliokimbilia course mpya mwaka 2015 wakapewa boom 100%Asante Mkuu.
umeelezea vizuri sanaNi kozi mpya kwahiyo hata kwenye soko la ajira miundo ya waajiri haijaitambua. Secretarial inahusu kazi zote za Katibu Mahsusi yaani PS (mchapaji wa barua na mpokezi wa wageni kwenye Ofisi ya Kiongozi) Public Admin inahusu utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu. Kwahiyo hiyo kozi imechanganya Mafunzo ya Ukondakta na Udereva humo humo kwenye soko la ajira utachagua kuwa Konda au Dereva.
na mimi naitaji kuendelea na degree ya secretary yangu maana umenitamanisha maana hapo tatoka na vitu vingiKaribu Magogoni. Hii kozi ni mpya hapa Tanzania na inatolewa TPSC Cumpus ya Dar Es Salam tu kwa level ya Bachelor. Hakuna hata batch moja iliyomaliza, batch ya kwanza itamaliza mwaka wa masomo 2019/2020. Kozi hii inakuwezesha kuwa na skills zifuatazo; how to manage and administering office, writing in Shorthand and Hatimkato, public relations (public relations officer) and Protocol (protocol officer), contemporary secretarial skills (modern secretary hausiki na mambo ya reception), typist, how to manage conferences etc. Kwanza mwaka wangu wa kwanza tu tayari nimekuwa na hizo skills. Ukihitaji maelezo zaidi nitumie namba yako inbox.
ata wanaume wanapata tena wanapewa kipaombele sana sisi tulisomaga na mwanaume na aliwahi kupata ajira hadi sasa yuko mahakamani bundaHii kozi kwa wanaume ipoje Nina tamani kujiunga na hiii kozi ila naogopa nisije nikajikuta mwanaume ni Mimi pekebyangu darasani. Na vipi kwenye ajira wanao pewa kipaombele ni wa Dada au wrote ni sawa??
naomba unipe procedure za kujiunga hapo TPSCKaribu Magogoni. Hii kozi ni mpya hapa Tanzania na inatolewa TPSC Cumpus ya Dar Es Salam tu kwa level ya Bachelor. Hakuna hata batch moja iliyomaliza, batch ya kwanza itamaliza mwaka wa masomo 2019/2020. Kozi hii inakuwezesha kuwa na skills zifuatazo; how to manage and administering office, writing in Shorthand and Hatimkato, public relations (public relations officer) and Protocol (protocol officer), contemporary secretarial skills (modern secretary hausiki na mambo ya reception), typist, how to manage conferences etc. Kwanza mwaka wangu wa kwanza tu tayari nimekuwa na hizo skills. Ukihitaji maelezo zaidi nitumie namba yako inbox.
mabadiliko yatafanyika maana wao TPSC si wehu kuanzisha kitu kama hakina ajira I hope mpaka wakamalize hao walio anza watakuta ajira zishafunguliwaKatika miundo ya utumishi hakuna kada yeyote inayoajiri mtu mwenye hiyo fani, unless mabadiliko yafanyike kwenye miundo iliyopo