BACHELOR DEGREE IN SECRETARIAL STUDIES AND PUBLIC ADMINISTRATION

kacherema

Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
70
Points
95

kacherema

Member
Joined Oct 3, 2017
70 95
Wadau nimeona hii degree ya secretarial studies and public administration inatolewa na chuo cha utumishi wa uma Dar(TPSC), naomba mwenye uzoefu wa hii taaluma anipe majukumu ya kila siku ya mtu mwenye taaluma hii akiwa kazini na pia maeneo anayoweza kufanyia kazi. Na ndani yake kwa mapana unasomea kozi ipi na ipi(kwa aliyeona prospectus ya hii kozi kwenye hiki chuo).
 
mmteule

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
2,470
Points
2,000

mmteule

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
2,470 2,000
Ni kozi mpya kwahiyo hata kwenye soko la ajira miundo ya waajiri haijaitambua. Secretarial inahusu kazi zote za Katibu Mahsusi yaani PS (mchapaji wa barua na mpokezi wa wageni kwenye Ofisi ya Kiongozi) Public Admin inahusu utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu. Kwahiyo hiyo kozi imechanganya Mafunzo ya Ukondakta na Udereva humo humo kwenye soko la ajira utachagua kuwa Konda au Dereva.
 
Mungoni Mshamba

Senior Member
Joined
Jan 30, 2017
Messages
158
Points
225

Mungoni Mshamba

Senior Member
Joined Jan 30, 2017
158 225
Karibu Magogoni. Hii kozi ni mpya hapa Tanzania na inatolewa TPSC Cumpus ya Dar Es Salam tu kwa level ya Bachelor. Hakuna hata batch moja iliyomaliza, batch ya kwanza itamaliza mwaka wa masomo 2019/2020. Kozi hii inakuwezesha kuwa na skills zifuatazo; how to manage and administering office, writing in Shorthand and Hatimkato, public relations (public relations officer) and Protocol (protocol officer), contemporary secretarial skills (modern secretary hausiki na mambo ya reception), typist, how to manage conferences etc. Kwanza mwaka wangu wa kwanza tu tayari nimekuwa na hizo skills. Ukihitaji maelezo zaidi nitumie namba yako inbox.
 
Hahaha wewe jamaa umenifurahisha sana. Lkn hii kozi ni zaidi ya katibu mahususi ina skills nyingi sana ambazo ni msaada kwa muhitimu.
 
kacherema

Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
70
Points
95

kacherema

Member
Joined Oct 3, 2017
70 95
Karibu Magogoni. Hii kozi ni mpya hapa Tanzania na inatolewa TPSC Cumpus ya Dar Es Salam tu kwa level ya Bachelor. Hakuna hata batch moja iliyomaliza, batch ya kwanza itamaliza mwaka wa masomo 2019/2020. Kozi hii inakuwezesha kuwa na skills zifuatazo; how to manage and administering office, writing in Shorthand and Hatimkato, public relations (public relations officer) and Protocol (protocol officer), contemporary secretarial skills (modern secretary hausiki na mambo ya reception), typist, how to manage conferences etc. Kwanza mwaka wangu wa kwanza tu tayari nimekuwa na hizo skills. Ukihitaji maelezo zaidi nitumie namba yako inbox.
..

Asante sanaa. Vipi kuhusu hostel hiki Chuo kina hostel?
 
ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
4,676
Points
2,000

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
4,676 2,000
Duh! Hii kozi inamuandaa muhitimu awe nani haswa? HR, PS au vyote? Confusion
Karibu Magogoni. Hii kozi ni mpya hapa Tanzania na inatolewa TPSC Cumpus ya Dar Es Salam tu kwa level ya Bachelor. Hakuna hata batch moja iliyomaliza, batch ya kwanza itamaliza mwaka wa masomo 2019/2020. Kozi hii inakuwezesha kuwa na skills zifuatazo; how to manage and administering office, writing in Shorthand and Hatimkato, public relations (public relations officer) and Protocol (protocol officer), contemporary secretarial skills (modern secretary hausiki na mambo ya reception), typist, how to manage conferences etc. Kwanza mwaka wangu wa kwanza tu tayari nimekuwa na hizo skills. Ukihitaji maelezo zaidi nitumie namba yako inbox.
 
Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
1,844
Points
2,000

Mpombote

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
1,844 2,000
Kiraka hiyo course unakuwa
1.P.S(Personal Secretary)
2.H.R.O(Human Resources Officer)
3.P.A( Personal Assistant)-Public Administration
4.P.O(PROGRAM OFFICER ma NGO'S mengi naonaga hii Post).
5.N.k
 
Mungoni Mshamba

Senior Member
Joined
Jan 30, 2017
Messages
158
Points
225

Mungoni Mshamba

Senior Member
Joined Jan 30, 2017
158 225
Kiraka hiyo course unakuwa
1.P.S(Personal Secretary)
2.H.R.O(Human Resources Officer)
3.P.A( Personal Assistant)-Public Administration
4.P.O(PROGRAM OFFICER ma NGO'S mengi naonaga hii Post).
5.N.k
PS/Assistant Executive
Manager
Administrator/Supervisor
Public Relations Officer (PRO)
Protocol Officer Etc
 
Mungoni Mshamba

Senior Member
Joined
Jan 30, 2017
Messages
158
Points
225

Mungoni Mshamba

Senior Member
Joined Jan 30, 2017
158 225
Kwa maoni yangu, hiyo kozi inawafaa makatibu muhutasi ( personal secretaries) waliopo kazini ili waongeze weledi zaidi katika majukumu yao kwani wanapewa na skills za administration
Upo sawa. Lkn inamfaa mtu yoyote. Freshers ni wengi kuliko hao wafanyakazi. Wafanyakazi wana mitihani yao maalumu Kwa ajili ya hicho umesema. Inaitwa Public Service Examination (PSE). Hiyo kozi kijana inamfaa.
 
MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Messages
2,619
Points
2,000

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2015
2,619 2,000
Upo sawa. Lkn inamfaa mtu yoyote. Freshers ni wengi kuliko hao wafanyakazi. Wafanyakazi wana mitihani yao maalumu Kwa ajili ya hicho umesema. Inaitwa Public Service Examination (PSE). Hiyo kozi kijana inamfaa.
Katika miundo ya utumishi hakuna kada yeyote inayoajiri mtu mwenye hiyo fani, unless mabadiliko yafanyike kwenye miundo iliyopo
 
Forum statistics

Threads 1,358,242
Members 519,261
Posts 33,163,106
Top