ila inaonekana we pesa yako haitoki kirahisi kabisaaaa
Pesa zinatoka kwa style, kuna jinsi tunavyotune band kwenye radio za analog, au TV za analog, unakuwa unajaribisha jaribisha kwa kuzungusha mpaka unapapata pasipo chenga, sasa na mi ukinitune vizuri tu ujue pesa utakuwa unajichukulia tuu!
we mwenyewe kama uko kazin sa hivi na huu mda unautumia JF jujue pia na wewe ni tapeli pia
kama huyo mdada anaechukua vocha zako na papuchi hatoi hakuna utofauti
Hizi ni starter za mwaka mpya, mwajiri mwenyewe ameenda likizo, katuacha nyoka tu hapa, sasa sisi tufanyaje.
vocha unatoa na nikitaka kuongea na wewe nakubip usipopiga shauri yako
Vocha natoa mwanzoni tu, nikiona hutoi mambo na nakuheshim ajiondoa kimya kimya, otherwise nitakuambia leta papuchi ndo nikupe unachotaka (ila hii ni kama sijakuheshim na nataka tuachane tu).
Ukiweka chambo kwenye ndoano samaki ana option tatu
1. Kula kile chambo akamatwe na ndoano aje nchi kavu
2. Asile kabisa kile chambo
3. Ale chambo kiujanja ujanja na abakie majini
Sasa kama option ni namba 3, mvuvi utakuwa mjinga kuendelea kuweka chambo kile kile bila matokeo. Tunza chambo kwa samaki mwingine anayeweza kukila akatoka nacho nchi kavu.