Baby Naomba Pesa Nikasuke

Baby Naomba Pesa Nikasuke

lkn c unachunika??? bado uko mule mule tu, lkn pia ulijali wako hadi ubustiwe mweeeeeeeeeeeeee

Umeielewa topic au umeingilia katikati?

Soma chini hapo!

Rose: Ndio nimeshasema hivyo, kama unataka tukonane ili tugafanye, mie siko tayari kabisa
Juma: Sasa kama mimi hunitaki kwanini unapenda pesa zangu? Acheni wizi wenu, mwezi mzima huu unanipiga Kalenda tuuu na maneno yako ya wizi....Usinipigie simu tena na namba yangu futa.
Rose: Mmmhhhh Baby hutaniwi?!!! Leo siko fresh ndio maana subiri mwezi ukiisha tu, utafurahi na moyo wako
Juma: Huo mwezi kaa nao tu, tangu uanze kusema hivyo umeshapita zaidi ya huo mwezi hakuna cha maana zaidi ya Vocha, kusuka, sijui kodi ya nyumba sijui nini........
 
Mwanaume asiyechunjwa ana mawili
1. Anapiga Punye
2. Mashine yake haifanyi kazi (imekufa) hainyanyuki kabisaaa

mwanaume lijali anachunwa 48hrs

Mikopo ipo bana.msilazimishe kuchunwa. Inaonekana nyinyi ndio type zile za kulazimisha malavidavi. Kama demu anakumind mwenyewe unagonga tu free. Ukilazimisha ndio lazima uchunwe. Watu tunapiga free sana ukijipinda buku ten tu.
 
Haya Tena Heri ya Christmas na Mwaka Mpya kwa Mpigo.

Watoto wamekua jamani, na wakubwa wamekuwa wadogo wanaitwa Baby!!!! Haya ndio niliyoyakuta kunako mahali hukooo MMU grounds. Kijana kawasha moto kweli kweli, kisa kaombwa au katakiwa atoe mupesa ya Msuko, Yebo yebo au Majimoto au twende kilioni mie hata sijui. Dai kubwa la kijana wangu ni hili hapa, fuata mlolongo huu mfupi;

Rose: Hello Baby wangu, jamani mbona umenisusa sana?
Juma: Mmmhh Nimekumisi Pia ( nikagundua kuwa hii nimekumisi wala haitoki moyoni)
Rose: Vipi leo tutaonana Baby?
Juma: Aaaahh ntafurahi sana maana tangu ukubali ombi langu hujawahi kunipa raha hata siku moja na mie nikajiona kidume
Rose: Kha! Yaani wewe unawaza ngono tu, kwanza wewe si una mkeo? Mimi mambo ya ngono sitaki kabisa
Juma: Sijakuelewa Dear
Rose: Ndio nimeshasema hivyo, kama unataka tukonane ili tugafanye, mie siko tayari kabisa
Juma: Sasa kama mimi hunitaki kwanini unapenda pesa zangu? Acheni wizi wenu, mwezi mzima huu unanipiga Kalenda tuuu na maneno yako ya wizi....Usinipigie simu tena na namba yangu futa.
Rose: Mmmhhhh Baby hutaniwi?!!! Leo siko fresh ndio maana subiri mwezi ukiisha tu, utafurahi na moyo wako
Juma: Huo mwezi kaa nao tu, tangu uanze kusema hivyo umeshapita zaidi ya huo mwezi hakuna cha maana zaidi ya Vocha, kusuka, sijui kodi ya nyumba sijui nini........
Rose: Nitumie hata vocha basi..........................

Haya ndio niliyoyanasa mahali kwa ufupi, japo majina sio halisi. MORAL - tujifunze kuridhika na hali zetu pamoja na wapenzi wetu. Mwaka Mpya uanze na mambo mapya. Tunapoteza pesa nyingi kwa mambo yasiyo ya msingi. MUNGU awabariki mkaziangalie na kuzipigania familia zenu peke yenu.

ujambazi wa kutumia hips,mbaya huo oohoo!!!!
 
Watu bwana Kwa kunyatia maongezi ya wenzao, uliwezaje kuyanasa haya hasa ya upande wa pili ambako hukuwa naye karibu?
 
Umeielewa topic au umeingilia katikati?

Soma chini hapo!

he he he nimeielewa sana, huyo kaka alikuwa bado hatoa vizuri hadi bibie akaridhia, lkn pia huyo bibie nae cku hizi hatuombi hela ya vocha, yaani hapo kaniboa kweli buzi unatakiwa umpige mzinga kweli mbele ya safari unafanya kitu cha maana
 
Kuna mmoja alinisusa toka may jana kanipigia cm nimekumis nyng,Leo Namuudumia
 
he he he nimeielewa sana, huyo kaka alikuwa bado hatoa vizuri hadi bibie akaridhia, lkn pia huyo bibie nae cku hizi hatuombi hela ya vocha, yaani hapo kaniboa kweli buzi unatakiwa umpige mzinga kweli mbele ya safari unafanya kitu cha maana

Ndiyo maana mnatumikishwa mpaka mnabebeshwa unga kwa kutaka hela ya maana! Mi ntakupaje hela ya maana wakati mambo yangu bado?
 
Mzinga wa kidijitali zaidi "xaxa bebi xi utanipa pexa ya kuxukia? !!
 
Ametoka ubavuni kwake,amsikilize na avute subira,kwani anavyotoa hela ananunua? Na akitoa msaada lazima atake malipo? Mi hua natenda wema naenda zangu,hasara roho pesa karatasi na navyopenda kuchunwa!!! Nisipochunwa sina raha,na tusidanganyane kabisa hakuna asiechunwa kama huchunwi basi wewe unapiga punye..

Maneno kuntu!!!!!
 
nipe nikupe

View attachment 129570ujumbe uwafikie wanaume wote mabahili

Tatizo mnabana sana ndio maana sasa hivi hatuoni umaana wa nyie kupendeza.

Mimi nakuwaga muwazi na nikogi hivi hata demua wangu anajua kwa sababu mi ni kijana naelewa nini maana ya kupendeza. Nimemnunulia sister duu wangu vifaa vyote vya muhimu kama saluni kuanzia hand dryer, ile ya kuunguza nywele, sijui vibanio na rundo la mavipodozi sijisifii wala haikua hela nyingi kama 100k hivi.

Masharti ni kwamba hivyo vyote ni kwa utukufu wangu, akipendeza tuu!:couch2:... Namkumbusha haya mama unaona ulivyopendeza?!..Haya tangulia chumbani nakuja :hungry:... Sasa hivi laki yangu imerudi na faida juu..
 
faida imekuwa ipi mkuu?
 
Ndiyo maana mnatumikishwa mpaka mnabebeshwa unga kwa kutaka hela ya maana! Mi ntakupaje hela ya maana wakati mambo yangu bado?

hayo ni makubaliano mengine sasa kwani hushikiwi bunduki, kwa hiari zao wenyewe ni maamuzi hata ww ukiamua unaweza
 
Tatizo mnabana sana ndio maana sasa hivi hatuoni umaana wa nyie kupendeza.

Mimi nakuwaga muwazi na nikogi hivi hata demua wangu anajua kwa sababu mi ni kijana naelewa nini maana ya kupendeza. Nimemnunulia sister duu wangu vifaa vyote vya muhimu kama saluni kuanzia hand dryer, ile ya kuunguza nywele, sijui vibanio na rundo la mavipodozi sijisifii wala haikua hela nyingi kama 100k hivi.

Masharti ni kwamba hivyo vyote ni kwa utukufu wangu, akipendeza tuu!:couch2:... Namkumbusha haya mama unaona ulivyopendeza?!..Haya tangulia chumbani nakuja :hungry:... Sasa hivi laki yangu imerudi na faida juu..

hapo ww faida unapataje au cjaelewa
 
Back
Top Bottom