Baby Naomba Pesa Nikasuke

Haya sasa ni msimu wa kuombwa kodi za nyumba na ada za watoto na za kwao pia, Wanaume wenzangu kaeni attention wanakuja
 
Mwanaume asiyechunjwa ana mawili
1. Anapiga Punye
2. Mashine yake haifanyi kazi (imekufa) hainyanyuki kabisaaa

mwanaume lijali anachunwa 48hrs
Mkuu hii research yakoo?? Kuna tofauti kubwa sana Kati ya kutoa kwa shinikizo na kutoa kwa kujisikia. Anyway huu ni mtazamo sio research.
 
Kanigini kwa hiyo ulitaka nikuombe 500 ya vocha!!!!!!!!!!!!

halafu na mwanaume unaesubiri kuombwa ndio utoe nae tu ni bahili we jua

mwanamke anahitaji kuhudumiwa

Mwanamke anaesubiri apewe hela ndiyo atoe, nae ni bahiri vile vile! Kwani wewe hujui mwanaume anataka nini! Wewe toa kiroho safi! Na dume litatoa kiroho safi! Ukizungusha zungusha na wewe unazungushwa zungushwa! Tena hata mia 500 hupati labda mia!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom