Baby Naomba Pesa Nikasuke

Tatizo mnabana sana ndio maana sasa hivi hatuoni umaana wa nyie kupendeza.

Mimi nakuwaga muwazi na nikogi hivi hata demua wangu anajua kwa sababu mi ni kijana naelewa nini maana ya kupendeza. Nimemnunulia sister duu wangu vifaa vyote vya muhimu kama saluni kuanzia hand dryer, ile ya kuunguza nywele, sijui vibanio na rundo la mavipodozi sijisifii wala haikua hela nyingi kama 100k hivi.

Masharti ni kwamba hivyo vyote ni kwa utukufu wangu, akipendeza tuu!:couch2:... Namkumbusha haya mama unaona ulivyopendeza?!..Haya tangulia chumbani nakuja :hungry:... Sasa hivi laki yangu imerudi na faida juu..

hahaha we noma!!
 
Ohhh! Sory! Nilikua najua niko na Wachumi wenzangu...

Hebu Copy n Paste hii kwenye google Economic Profit Vs Accounting Profit

..... There can be Accounting Loss in numerous Economic Profits...

hata uwe na phd ya uchumi kwenye haya mambo hutakwepa bado utachunwa tu
 
bwana wee Mtajua wenyewe we unadhani si tunaangaika juani ili iweje?
Nijenge nyumba ili iweje?, Nilale...nikishalala?, Niamke nikishaamka...

Papuchi kwanza ndio akili inikae sawa wat is next.

Wewe mtoto kafungasha hapa na kibaha kwa matiasi eti nimuwache kisa pesa ngumu.. ugumu wenyewe kukaa kwenye vikao vya Rmashauri.. ah! nisiseme mengi tuwacheni..
 
umenichekesha kweli, umenikumbusha mjomba wangu ni fundi wa kujenga yaani pamoja kazi yake kuwa ngumu ila akiwa na mwanamke pesa yote alokuwa nayo anampa kesho anaanza upya
 
Tatizo mnabana sana ndio maana sasa hivi hatuoni umaana wa nyie kupendeza.

Mimi nakuwaga muwazi na nikogi hivi hata demua wangu anajua kwa sababu mi ni kijana naelewa nini maana ya kupendeza. Nimemnunulia sister duu wangu vifaa vyote vya muhimu kama saluni kuanzia hand dryer, ile ya kuunguza nywele, sijui vibanio na rundo la mavipodozi sijisifii wala haikua hela nyingi kama 100k hivi.

Masharti ni kwamba hivyo vyote ni kwa utukufu wangu, akipendeza tuu!:couch2:... Namkumbusha haya mama unaona ulivyopendeza?!..Haya tangulia chumbani nakuja :hungry:... Sasa hivi laki yangu imerudi na faida juu..

kwa hiyo we tangu utoe laki hujatoa tena!!!!!!!!!!

au unadhani mwanamke kupendeza ni kusuka tu!!!!!!!!!!!1
 
bwana wee Mtajua wenyewe we unadhani si tunaangaika juani ili iweje?
Nijenge nyumba ili iweje?, Nilale...nikishalala?, Niamke nikishaamka...

Papuchi kwanza ndio akili inikae sawa wat is next.

Wewe mtoto kafungasha hapa na kibaha kwa matiasi eti nimuwache kisa pesa ngumu.. ugumu wenyewe kukaa kwenye vikao vya Rmashauri.. ah! nisiseme mengi tuwacheni..

Pesa kazi yake matumizi mie nakusifu sana................
 
Mambo yako bade kiaje!!!!!!!!!

Yaani mtu anaomba hela ya nyumba wakati mi mwenyewe nyumba sina! Anaomba hela ya gari wakati mimi sina gari, nitawezaje? Refer hii hapa chini

Yaani hapo kaniboa kweli buzi unatakiwa umpige mzinga kweli mbele ya safari unafanya kitu cha maana
.

Kama mimi sina kitu cha maana nakuhongaje hela ya kwenda kufanya kitu cha maana?

Ndio maana inabidi kama unataka vitu vya maana uende kwa mapedejee wa unga au wababu ambao walishamaliza kusomesha, wanakula pensheni. Mi zangu unaishia kusuka tu.

Hutaki ya kusuka kaa na papuchi yako.
 
View attachment 129570ujumbe uwafikie wanaume wote mabahili

Pamoja na responsibilities, kweli mi nitoe tuuu kama huyo jamaa kwenye thread, kila siku kutoa tuuuu. Hata kuonja no! Anatakiwa apewe motivation ya kutoa bana.

Wanaume tunatafuta pesa ili ziturahisishie kupata papuchi, sasa kama pesa natoa na papuchi sipati, mi ntakua mwanaume kweli. Nipe pauchi nikupe password ya account.
 
Yaani mtu anaomba hela ya nyumba wakati mi mwenyewe nyumba sina! Anaomba hela ya gari wakati mimi sina gari, nitawezaje? Refer hii hapa chini

.

Kama mimi sina kitu cha maana nakuhongaje hela ya kwenda kufanya kitu cha maana?

Ndio maana inabidi kama unataka vitu vya maana uende kwa mapedejee wa unga au wababu ambao walishamaliza kusomesha, wanakula pensheni. Mi zangu unaishia kusuka tu.

Hutaki ya kusuka kaa na papuchi yako.

Pole mkuu
 
Kanigini kwa hiyo ulitaka nikuombe 500 ya vocha!!!!!!!!!!!!

halafu na mwanaume unaesubiri kuombwa ndio utoe nae tu ni bahili we jua

mwanamke anahitaji kuhudumiwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom