darling-tone
Member
- Apr 24, 2013
- 60
- 11
Salama wapendwa? Naomba kupata mapendekezo ya majina ya watoto wa kiume na kike. Ya kizungu, kiarabu n.k
Salama wapendwa? Naomba kupata mapendekezo ya majina ya watoto wa kiume na kike. Ya kizungu, kiarabu n.k
Mkuu usipende kuita mwanao / wanao majina ya kupewa from nowhere, unaweza mpandikizia mwanao pepo tangu akiwa mdogo make binadamu wamekuwa wakatili kuliko wanyama.
Anakupa jina nawe unalipokea tu bila kujua maana wala asili.
Kama ni muumini wa kiislamu au kikristo tafuta jina zuri toka vitabu vya dini. Majina mengine laana na mikosi tu.....
NB: Ni ushauri wangu binafsi.....
Wa Kiume/Kike: Mulugo na Div5.
Be specific mkuu....wewe ni christianity or islamic ...manake majina ya kizungu na kiarabu ni vitu viwili tofauti.