Kuna mpya maeneo ya moshono na nyingine ni sun down carnival iko kisongo zinabamba mbaya aise
Teh umejuaje? haya pouwa twende kesho basi sio leo!
je tutarudi na roho zetuuu?
Duh ni kweli ila hebu ngoja nitakujulisha baadae Mr RockyHuwa napenda kwenda ijumaa ili jumamosi nipate muda wa kupumzika na unajua kwa sisi watu wa ibada jumamosi sio njema maana utashindwa kuamka jumapili Erickb52
Kabisa Jiwe Linaloishi usalama upo wa kutosha
Sasa hii naruhusiwa kumwongelea kila anayenitoa udenda au ni special kwa bibi tu?
Sorry, kama uzee unanipelekesha..lol!!
Babu DC!!
He he he, kumbe nakutoa udenda?
Ngoja tu, mwekezaji kanibana, ila narudi, khah, mna mibalaa nyie?
Vizee vingine vinazeeka mapafu tu, maini yote imara na yanalilia kutumika?
Naona bange limekolea leo....
Ngoja nimwombe bibi akodishe mageshi na kamba tayari kumfunga mtu....
We don't want to see anyone hurt except those who want to hurt themselves...
Babu DC!!
I love challenges
'The forbidden' excites me
Ni kama unaniambia 'come this way'
Bahati nzuri Mungu alituzia tusijiapize juu nchi na mbingu...
I almost committed that sin.....
Bibi is my saviour and shewill never let me become a captive....:nono::nono:
Babu DC!!
siku hizi JF huwezi jua yupe dume yupi jike
ni kimbembe tupu
sasa kati ya kaunga na erotica yupi dume na yupi jike
TUNATIANA NAJISI TU SASA
View attachment 85835