Baby come I take you to Ecstasy...

Baby come I take you to Ecstasy...

Simply speechless!
Thanks honey, just like incurable virus in one's body that it is me into your sweet, sexy and juicy body. I am going NOWHERE!
Missed you terribly, l hope this time you are here to stay!

Missed you too my lovely love! Love you so much. I am here to stay Darling.:A S-heart-2::love::A S kiss::tongue:
 
Erotica ukoje wewe?

Tangu lini unanza gari kwa gia namba 5??

Bora ungesubiri Ijumaa.....

Ila kweli, fito moja ikiondoka kwenye nyumba lazima watu watachungulia ndani....

Safi sana kwamba fito imerudi....no more pains...

Babu DC!!

teh teh teh! Kiss to you! Mwaaaaaah!
 
NB
Copy and Paste hairuhusiwi without release permission from mlengwa wa hayo mahanjumati.

Maana nishaona thickness ya maneno inaanza kupungua kwa kukopiwa. LOL

Darlin umeona eeh? teh teh teh! Come this way mamito...... :A S-heart-2:
 
Dah mi siku hizi hayo mambo nimeacha Mr Rocky nasikia kuna kijiwe kizuri ila sijaenda bado!
Kisongo nimeenda mchana nikaingia hadi mjengoni ila sio usiku!
Akija Arabela tutaenda!

Nani amekukamata hivyo Erickb52 au Amyner karudi unaogopa kujulikana siri zako kuwa ulikuwa unakesha club
Twende moshono aise tukapaone pakoje maana nasikia kila mtu anapasifia aise pako juu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom