Usoni papito.... au unataka kwengine?
He he he, kusikia tu waishi Tanga inatia raha
Maji ya hiliki na nazi yatakuhusu kwa muda
Huo ugonjwa nitaupandikiza
Bibi hana haja ya msaidizi. She is self sufficient.
Man up! Kwa nn usiweze? Come this way papito........... :lalala:
Wee, usimsemee
Najitolea tu, tena kubali haraka haraka kabla hawajaa hapa
Powa joune,nipo wanguEh Bb... twamasiku??
Powa joune,nipo wangu
Simple Look But Tough in Wallet.