Baby Come Back.........

mmhhh bibie
raha tuuu, kama mligombania mambo ya kijinga...
halafu ikafikia ile hatua we ukajitoa....
mmmmmhhh halafu baada ya muda jamaa anakuomba urudi mbona raha sana
maana wanaume wengi wana act tough kwa hiyo nikimwona ananyenye kea na kuomba msamaha mmmhhh hii napenda.
i like my men to be passion and gentle....

Mhhh!!!! I see
 
Najiuliza tu....how do people feel when they are facing this kind of situation..

Umekaa na mtu wako kwa muda, then out of blues akaamua kusitisha mahusiano yenu (wengine kwa mbwembwe/Ugomvi/maumivu) e.t.c but after a while anarudi na kukuomba mrudiane..................

What kind of feelings do people get?? Imeshawahi kukutokea? How did you feel and what was your reaction??

Mapenzi ah......................
love stinks
 
Hapa ni jinsi alivyoondoka bana.......!!
 
Hapa ni jinsi alivyoondoka bana.......!!
sikiliza we crap,
dem ako akikuletea za ajabu UNAWEKA OVADRAIVU unakanyaga mafuta

always remember....''VAPOURIZED FEELINGS CAN NEVER BE CONDENSED''
 
sikiliza we crap,
dem ako akikuletea za ajabu UNAWEKA OVADRAIVU unakanyaga mafuta

always remember....''VAPOURIZED FEELINGS CAN NEVER BE CONDENSED''

Labda Emjeiwani atuambie... hii baby come back ni ya ampendaye kiviiiiile au ni INFII?

Kwa babu.... Baby come back kwa INFII ni Ruksaaaaaa!
 
Labda Emjeiwani atuambie... hii baby come back ni ya ampendaye kiviiiiile au ni INFII?

Kwa babu.... Baby come back kwa INFII ni Ruksaaaaaa!
Baby come back kwa INFII ni MWIKO!i have got a lots of infiiz to deal with
 
sikiliza we crap,
dem ako akikuletea za ajabu UNAWEKA OVADRAIVU unakanyaga mafuta

always remember....''VAPOURIZED FEELINGS CAN NEVER BE CONDENSED''
hahahahahaha CRAP at it best!!
 
sure brother......!
ANGALIZO:kwa mujibu wa hii post ya mj1....''MARRIAGE IS OUT OF QUESTION''

DC......Sure Teamo amejibu nilichotaka kujibu na mimi kwamba ukisoma post ya MJ1 "MARRIAGE IS OUT OF QUESTION"

Babu kwa nini mahawala huwa wanarudiana? ns si hawa walio oana kwa ndoa?

Bado nauliza tena....are you sure? Labda nitoe mfano.

Kwa sasa nchini Denmark, divorce rate iko kwenye kiwango cha >45%. Na kati ya hizo ndoa, kama 15% watu wanarudiana. Sasa katika hili tunalojadili mambo ya ndoa kweli hayaingii au tumejifungia katika mazingira ya Magomeni mapipa tu?
 
Baby come back kwa INFII ni MWIKO!i have got a lots of infiiz to deal with

Sure, but suppose you meet your former INFII at the bar with some sleeping rooms with comfy matresses while you are "hungry"?... You take a room and baby come back deal is signed...while thinking of the next INFII.....
 
MJ1,

Kuna mambo kibao tu yanaweza kumfanya mtu afikirie kugeuka nyuma hata ikimaanisha kuwa anaweza kugeuka jiwe. Kuna watu wanakuwa kwenye mahusiano na wakati huo hawajitambui. Kwa hiyo wanaweza kujikuta wanaachia lulu bila kujua madhara yake. Kuna wengine wanaamua kwa shinikizo la wapambe au ndugu, na wengine pia wanaweza kuachia ngazi kwa sababu ya mis-calculation i.e wanashindwa ku-balance mzani endapo wana watu zaidi ya mmoja. Na ukizingatia dhamani ya kitu inafikia maximu mara kabla ya kukipata na baada ya hapo inaporomoka kuelekea kwenye zero. Na unapokipoteza hicho kitu basi thamani yake inaweza kupanda hadi ikazidi ile maximum ya kwanza.

Uamuzi wa kumpa nafasi mtu anayerudi kwa kutembelea magoti kama alivyosema AD unategemea mambo mengi ila la msingi ni mazingira ya ile point mlipoachana kwa mara ya mwisho.. Tutaendelea kwenye next edition au kama inatosha poa!

Babu DC

Hawakukosea kukubatiza jina la Babu DC........busara zimelala hapa aksante sana . Najaribu tu kufikiria pale ambapo mliachana kwa ugomvi mkubwa na mikashfa ya kufa mtu huku wewe unaeombwa kucome back ukijaribu as much as possible kumrudisha na kumfanya aone jinsi gani unamhitaji but yet akakuona hufai sasa when you decide to move on ndo......bang!! anakuja na huo mziki!!

Even if you decide to take him/her back how do you learn to trust that person again to the extent ya wewe kuwa in peace kama mwanzo?
 
Mi huwa naogopa sana kupata kidonda kwenye kovu...

Baby come back ipo, ila nimemkubuka rafiki yangu...ngoja niishie hapa... Kuumizwa mara mbili ni nusu kifo asee.
Asprin ni kweli unachosema so I take it kuwa ni ngumu.how far will you be sure kuwa kilichotokea mwanzo hakitatokea tena? ni ngumu aisee
 
aisee mwanajamiione,
to me....

''VAPOURIZED FEELINGS CAN NEVER NEVER NEVER BE CONDENSED!.....and i no have compromise on that''
............ okay Teamo I get you here.....loud and clear

Phwehh ni kazi kwa kweli ah................ sijui nifanye vasectomy ya kupenda lol??
 
Hawakukosea kukubatiza jina la Babu DC........busara zimelala hapa aksante sana . Najaribu tu kufikiria pale ambapo mliachana kwa ugomvi mkubwa na mikashfa ya kufa mtu huku wewe unaeombwa kucome back ukijaribu as much as possible kumrudisha na kumfanya aone jinsi gani unamhitaji but yet akakuona hufai sasa when you decide to move on ndo......bang!! anakuja na huo mziki!!

Even if you decide to take him/her back how do you learn to trust that person again to the extent ya wewe kuwa in peace kama mwanzo?

We kajukuu, angalia usije ukauguza kidonda cha kovu. Kinasumbua sana kupona.

Labda nikuulize: Mkarudiana halafu akakutenda tena kama awali.....baada ya muda akaja tena kuomba baby come back....Mi nashukuru bastola haziuzwi kariakoo, unaweza kuua kwa mapenzi asee.
 
Back
Top Bottom