Baby Come Back.........

Nimejiuliza kweli J umeota nini leo hadi kufukunyua hili lol................thanx lov
the baby come back thing didnt happen lol......................... he wasnt on his bended knees.

Mhhhh, Pole sana. Sikujua kuwa hii mission ilikuwa na mkakati wa utekelezaji. Nilidhani ni tamthilia. Hata hivyo utakuwa umejifunza kitu na kupata hazina ya next time!!

Mzee DC
 
DC............. acha tu kaka yangu but thanx to JF walinifungua macho kwani I was almost........I say almost. Mbona ingekula kwangu??
 
Pole sana na hongera pia. Kila siku ni darasa na wale wanaoweza kulitumia vizuri wamejinyakulia Shahada za maana sana. Siyo zile za majoho na makaratasi bali wameweza kuyaendesha maisha yao katika hali ya ajabu sana.

Natumai wewe ni mmoja wao!!

DC

Nashukuru......
 
Hili sredi bado linaendelea?

Ngoja nilirudie halafu nianze kuwa-groan watu kudadadadeki!

Mtu akini-groan naripoti abuse anakula ban!
 
Back
Top Bottom