Baby Come Back......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baby Come Back.........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Jan 13, 2011.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Najiuliza tu....how do people feel when they are facing this kind of situation..

  Umekaa na mtu wako kwa muda, then out of blues akaamua kusitisha mahusiano yenu (wengine kwa mbwembwe/Ugomvi/maumivu) e.t.c but after a while anarudi na kukuomba mrudiane..................

  What kind of feelings do people get?? Imeshawahi kukutokea? How did you feel and what was your reaction??

  Mapenzi ah......................
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmhhh bibie
  raha tuuu, kama mligombania mambo ya kijinga...
  halafu ikafikia ile hatua we ukajitoa....
  mmmmmhhh halafu baada ya muda jamaa anakuomba urudi mbona raha sana
  maana wanaume wengi wana act tough kwa hiyo nikimwona ananyenye kea na kuomba msamaha mmmhhh hii napenda.
  i like my men to be passion and gentle....
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sister have you ever thought of writing short stories ? i like your passion ukiandika wow! kujibu swali lako kama hamjaachana kwa shari haina kwere.
   
 4. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wenye maneno yao, btn lines pls;
  wish I had the guts to walk away and forget about what we had. But, I can't because I know you won't come after me, and I guess that's what hurts the most.
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Sijui ni mimi tu au, huwa sirudi nyuma aiseee
   
 6. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  huyo mtu lazima alikuwa na watu wawili,baada ya ku make desicions na kwenda huko alipokwenda, after sometimes akaona afadhali ya jana.
  kwahiyo mi watu kama hao siwapi nafasi kabisa,maana katika desicions zake ameona wewe ndio wa kuumizwa na kumridhisha mwengine,thats mean she/he was not deep in love with u at all the time u stayed together.
   
 7. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ukigeuka nyuma utakuwa jiwe la chumvi..... Nadhani hili neno limekukaa big up. point of no return.....
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Sodoma na Gomola viliangamia sababu ya uovu mwingii
  umenikumbusha wimbo wa Rutu:smile-big::smile-big:
   
 9. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hapo ni mwendo mdundo hakuna kurudi nyuma wala kugeuka sababu haziangaliwi kivileee unachapa mwendo kuachwa kuachwa! kuachwa ni shughuli pevu! aliimba nani tena nikumbushe
   
 10. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kabisa hapa umeongea ukweli. kuna msemo wanasema kule kwa wanajeshi "Don't shoot the gun just to hear the bung! One bullet one man"
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,473
  Trophy Points: 280
  MJ1.......again? please help me...
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  i think i lyk this post most....

  KAMWENE DADA?
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mimi ninachotishwa na post zako ni muda unaozipost,HAPO TU.....

  yaani unapost ''kibeba-box''
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Afrodenzi bana.........I like your way of thinking mydia.

  So huwezi kuhisi pengine hata ukicome back mbele tena mnawezagombana au haitowork?
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksante uporoto01 ..........well nilishapata hilo wazo but sijalifanyia kazi.

  Na kama mliachana kwa shari?...........
   
 16. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #16
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Maria Rosa .......you are right but what makes you decide not to go back, I mean anapokuja na kuanza kukwambia zile unajua, unajua zake.....unapata mawazo gani?? How do you feel kabla hujaamua kutoa uamuzi wa kutokurudi?
   
 17. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #17
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yes Mzuwanda I think we share some common instincts............
  But sometimes the feelings are mixed .....kuwa ameniona mie ndo wa kuumizwa but there is that other voice somewhere deep kuwa my be amegundua ananipenda kweli au I was the best...........but the decision depend.

  Me kusema kweli huwa I feel so offended..........
   
 18. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kamwene unogage Mwa teamo!
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Desidii yes mwendo mdundo but pale anapokuja kukuomba umcomie back---- unalichukuliaje hilo kabla hujamwambia asepe?

  NAdhani waliimba kina Chokoraa sijui Khalid!
   
 20. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #20
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh elia .........ulivyoyapanga hayo maneno loh.................lazima umpe wakati mgumu kudecide!!
   
Loading...