Baby Come Back.........

MJ1.......again? please help me...
Kaizer its not what you are thinking bana......................... bado sijatoa kutu kaka

I just want to know the feelings na mawazo yaendayo kichwani mwako unapokutana na situation hii
 
mimi ninachotishwa na post zako ni muda unaozipost,HAPO TU.....

yaani unapost ''kibeba-box''

.................. Teamo teknolojia ya air ungo imeboreshwa kaka..... siku hizi kuna zenye mpaka AC.......Aubuhi niko Tz usiku Netherlands lol
 
Najiuliza tu....how do people feel when they are facing this kind of situation..

Umekaa na mtu wako kwa muda, then out of blues akaamua kusitisha mahusiano yenu (wengine kwa mbwembwe/Ugomvi/maumivu) e.t.c but after a while anarudi na kukuomba mrudiane..................

What kind of feelings do people get?? Imeshawahi kukutokea? How did you feel and what was your reaction??

Mapenzi ah......................

MJ1,

Kuna mambo kibao tu yanaweza kumfanya mtu afikirie kugeuka nyuma hata ikimaanisha kuwa anaweza kugeuka jiwe. Kuna watu wanakuwa kwenye mahusiano na wakati huo hawajitambui. Kwa hiyo wanaweza kujikuta wanaachia lulu bila kujua madhara yake. Kuna wengine wanaamua kwa shinikizo la wapambe au ndugu, na wengine pia wanaweza kuachia ngazi kwa sababu ya mis-calculation i.e wanashindwa ku-balance mzani endapo wana watu zaidi ya mmoja. Na ukizingatia dhamani ya kitu inafikia maximu mara kabla ya kukipata na baada ya hapo inaporomoka kuelekea kwenye zero. Na unapokipoteza hicho kitu basi thamani yake inaweza kupanda hadi ikazidi ile maximum ya kwanza.

Uamuzi wa kumpa nafasi mtu anayerudi kwa kutembelea magoti kama alivyosema AD unategemea mambo mengi ila la msingi ni mazingira ya ile point mlipoachana kwa mara ya mwisho.. Tutaendelea kwenye next edition au kama inatosha poa!

Babu DC
 
Najiuliza tu....how do people feel when they are facing this kind of situation..

Umekaa na mtu wako kwa muda, then out of blues akaamua kusitisha mahusiano yenu (wengine kwa mbwembwe/Ugomvi/maumivu) e.t.c but after a while anarudi na kukuomba mrudiane..................

What kind of feelings do people get?? Imeshawahi kukutokea? How did you feel and what was your reaction??

Mapenzi ah......................

Mi huwa naogopa sana kupata kidonda kwenye kovu...

Baby come back ipo, ila nimemkubuka rafiki yangu...ngoja niishie hapa... Kuumizwa mara mbili ni nusu kifo asee.
 
aisee mwanajamiione,
to me....

''VAPOURIZED FEELINGS CAN NEVER NEVER NEVER BE CONDENSED!.....and i no have compromise on that''
 
Najiuliza tu....how do people feel when they are facing this kind of situation..

Umekaa na mtu wako kwa muda, then out of blues akaamua kusitisha mahusiano yenu (wengine kwa mbwembwe/Ugomvi/maumivu) e.t.c but after a while anarudi na kukuomba mrudiane..................

What kind of feelings do people get?? Imeshawahi kukutokea? How did you feel and what was your reaction??

Mapenzi ah......................

Mh, i have a million questions hapa kabla ya kujua niseme nini
hiyo come back itakua ni ya ngapi?
what was the source of the problem before? una hakika haitajirudia?
vipi kuhusu trust?
what about opening the closet and reveal all the skeletons?
what about the time you were not together? will you forget? if not what would that mean to your come back flare?

Mh... knowing myself, i have never been exctied with any come and i tried once, it was as cold as ice i had to chapa lapa
 
aisee mwanajamiione,
to me....

''VAPOURIZED FEELINGS CAN NEVER NEVER NEVER BE CONDENSED!.....and i no have compromise on that''
Teamo... thanks a million, i will print this one and post on my board

it is the best quote since last year

KULA TANO AISEE
 
aisee mwanajamiione,
to me....

''VAPOURIZED FEELINGS CAN NEVER NEVER NEVER BE CONDENSED!.....and i no have compromise on that''

Of course huyo ni wewe...Ila huku mtaani wajinga tu wengi...tunatoa nafasi hata 70 x 70!! Haya mambo ni magumu kuliko a, b, c.....!
 
Najiuliza tu....how do people feel when they are facing this kind of situation..

Umekaa na mtu wako kwa muda, then out of blues akaamua kusitisha mahusiano yenu (wengine kwa mbwembwe/Ugomvi/maumivu) e.t.c but after a while anarudi na kukuomba mrudiane..................

What kind of feelings do people get?? Imeshawahi kukutokea? How did you feel and what was your reaction??

Mapenzi ah......................

You feel good,coz amegundua umuhimu wako sasa!
Ukimpoteza tena kwa mara ya pili hilo litakuwa tatizo lako sasa sio yeye
 
you feel good,coz amegundua umuhimu wako sasa!
Ukimpoteza tena kwa mara ya pili hilo litakuwa tatizo lako sasa sio yeye
mh... Amesema ni mara ya pili?? Some go even to five time "baby come back"
 
Najiuliza tu....how do people feel when they are facing this kind of situation..

Umekaa na mtu wako kwa muda, then out of blues akaamua kusitisha mahusiano yenu (wengine kwa mbwembwe/Ugomvi/maumivu) e.t.c but after a while anarudi na kukuomba mrudiane..................

What kind of feelings do people get?? Imeshawahi kukutokea? How did you feel and what was your reaction??

Mapenzi ah......................

Yeah hii inakuwa yaliyo pita si ndwele tugange yajayo.

Unakuwa umezunguka weeeeeeeeee hujapata vitu adimu kama kwako

Inatokea kila sehemu ukigusa unaona huyu anakaso hii huyu ile zinazidiana na kwako

Mwisho wa siku ukikubali unasahau kama ulikuwa kipindi cha mpito vitimbi vinaanza tena.

Mi watu wakiachana huwa sipendekezi warudiane au kutoa ushauri unaweza toa ushauri ukashangaa kesho unanuniwa.
 
Mkuu nakuunga mkono kabisa,

Hayo ni mambo ya chemistry na hakuna nguvu inayoweza kuizuia...Ni kuacha nature ifanye kazi yake kwani kila mlango unafunguo yake, hata kama kuna siku inaweza kuwa-misplaced!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom