Mitchell
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 944
- 1,103
Simba wa Taranga you made my day uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zanguBasi atakuwa kazaliwa na hizo nguo pia.
Simba wa Taranga you made my day uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zanguBasi atakuwa kazaliwa na hizo nguo pia.
" Nani dhalimu mkubwa kuliko yule anaye mzushia uwongo Mwenyezi Mungu, au anaye sema: Mimi nimeletewa wahyi (ufunuo/maono): hali hakuletewa wahyi wowote. Na yule anaye sema: Nitateremsha kama alivyo teremsha Mwenyezi Mungu. Na lau ungeli waona madhalimu wanavyo kuwa katika mahangaiko ya mauti, na Malaika wamewanyooshea mikono wakiwaambia: Zitoeni roho zenu ! Leo mtalipwa adhabu ya fedheha kwa sababu ya mliyokuwa mkiyasema juu ya Mwenyezi Mungu yasiyo ya haki, na mlivyokuwa mkizifanyia kiburi Ishara zake. Qur'an: 6:93Duniani Kuna mambo! Uko wapi Ally Kombo?
Akili za kigalatia sie hazitusumbui ! Ndo maana, hatuponyi viwete !Duniani Kuna mambo! Uko wapi Ally Kombo?
Basi atakuwa kazaliwa na hizo nguo pia.
" Nani dhalimu mkubwa kuliko yule anaye mzushia uwongo Mwenyezi Mungu, au anaye sema: Mimi nimeletewa wahyi (ufunuo/maono): hali hakuletewa wahyi wowote. Na yule anaye sema: Nitateremsha kama alivyo teremsha Mwenyezi Mungu. Na lau ungeli waona madhalimu wanavyo kuwa katika mahangaiko ya mauti, na Malaika wamewanyooshea mikono wakiwaambia: Zitoeni roho zenu ! Leo mtalipwa adhabu ya fedheha kwa sababu ya mliyokuwa mkiyasema juu ya Mwenyezi Mungu yasiyo ya haki, na mlivyokuwa mkizifanyia kiburi Ishara zake. Qur'an: 6:93
Akili za kigalatia sie hazitusumbui ! Ndo maana, hatuponyi viwete !
sikio la kufa halisikii dawa, ukishabandikwa muhuri hata ufanyeje kamwe hutotoka katika imani potofu
View attachment 54172
Mimi sikuwepo huko Nigeria, lakini nimeiangalia hiyo picha nikagundua kwamba hiyo huenda isiwe Quran, bali kiberiti kama vinavyotengenezwa na Kibo match.
Itabidi wamzungushe ulimwenguni kote kuonesha Maajabu ya Allah (SW).
kila kitu ni usanii, akipima DNA anaweza kuta hawana hata ukoo na huyo mtoto.
Basi atakuwa kazaliwa na hizo nguo pia.
last edition ya hio quran hahahaha mad in china or saudi arabia printed mwka gani,,,,kiini macho tu hakuna kingine nionacho hio qurani ya bati si ingelowana waifanyie practical ya kuwekwa kwenye ute ute wa mama mjamzito tumbon tuone kama tadumu,,,ikiwekwa kumani tu itatoka ishawowana ndani ya saa tatu labda waseme wazalishaji walimshikisha wakati kesha zaliwa haha ina maana na hio qurani imeogeshwa mbona hata zile dam damu hakuna wala ute ,,,,,shit!
jamani ncheleleeeeeeeeeeee mie, duh, quran, nguo na kibakuli cha sadaka vyote kazaliwa navyo.
mmmh. napenda niamini, sasa nitajuaje hakijapachikwa mkononi mwake?
mana kavishwa hadi nguo, hakikupokonyoka?
Aisee hiyo mimi napinga kabisa. Inamaana Tumbo la uzazi la mwanamke linaweza kuumba Quraan? Aisee haya ni maajabu ya mwaka.
Nimeipenda hii! Ni ujinga wanataka kuleta hawa! Wangeonyesha akiwa ndo anatoka Kwenye uzazi amekishika.
Wanadhani watu wote ni wa wakati wa Muhammad.. Unadanganywa unameza.. Huna pesa za kujikidhi kimaisha unaambiwa Ongeza Mke
last edition ya hio quran hahahaha mad in china or saudi arabia printed mwka gani,,,,kiini macho tu hakuna kingine nionacho hio qurani ya bati si ingelowana waifanyie practical ya kuwekwa kwenye ute ute wa mama mjamzito tumbon tuone kama tadumu,,,ikiwekwa kumani tu itatoka ishawowana ndani ya saa tatu labda waseme wazalishaji walimshikisha wakati kesha zaliwa haha ina maana na hio qurani imeogeshwa mbona hata zile dam damu hakuna wala ute ,,,,,shit!
Huyo mtoto lazima alidai apate ubwabwa kabla hata ya kunyonya, kudadekiiii!!!