Kafara la Mtumishi wa Umma, Ndugu Daniel Maleki, Je Qur’an Aliitoa Wapi?

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,997
3,933
Je, Ndugu Maleki alitoa wapi Qur”an wakati ule? Ni nani aliyempa hiyo Quran? na kwanini alimpa? kwanini walimrekodi?

Je, Serikali inafahamu kwamba aliyetoa hiyo Juzuu-Amma na kumpatia Maleki ni Muislamu ambaye na ndiye aliyekuwa akichukua hiyo video?

Tukiwa tuna hukumu upande mmoja tu, je haya matukio yataisha? Tutafukuza kazi watumishi wangapi?

Ukifuatilia matukio yote Tanzania ya kuchanwa kwa Quran, ni mabishano yanayoanzishwa na Muslims katika dhana kwamba Quran itakudhuru, je ni wangapi wamedhurika? Kama hakuna, hii inakupa jibu gnani?

Nina muelewa Magufuli alichokifanya ni sahihi kwa mujibu wa nyakati.

Lakini ifike pahala Serikali ikemee haya matukio ya Waislamu ku provoke watu kwa maneno yao ya kudhurika. Ni katika mazingira magumu sana asiyekuwa muislam aende kununua Quran na kuja kuichana.

Popote penye tukio kama hili, basi ni lazima chanzo awe Muislam. Futilia hata lile tukio la yule mtoto aliyechana Quran enzi ya Utawala wa JK. Quran ililetwa na Mtoto wa kiislam kwa mabishano kuwa atakufa, did he die?

Disemba 2019, Quran ilichanwa Tanga, tukio ambalo halijasambaa. Ni baada ya vijana wa kiislam kwenda kuomba msaada wa mchango. Kijana wa kikurya akasema hana hela, wale vijana wakampa Quran, kijana wa kikurya akasema siamini haya mambo na akaichana baada ya mabishano na hao vijana.

Dini zote hizi ni ugonjwa wa akili, na zote zimejengwa katika misingi ya Violence na Vita. Hivi kuna dini yoyote ambayo ilisimama bila kumwaga damu? And still they justify that it was right to defend their faith by bloodshed. huu ni Uwendawazimu Kabisa.

Ni ukichaa kuamini kwamba Uislam ni Dini pekee ya kweli na nyingine ni za uongo, ni uwendawazimu kuamini kwamba Christianity is the only way to Heaven, and Jesus is Lord. Ni puuzi Kuamini Kwamba Jews Are the Only Chosen people of God and others being just slave.

Hakuna huyo Mungu aliyekufanya wewe uwe kwenye dini ya kweli na mwingine kuwa dini ya uongo. Huu ni Uchizi wa Akili.

Ni Ukichaa Kuamini Kwamba the Bible or Torah Has Been Infiltrated, Kwamba Quran Has Never Been Infiltrate.

Do you know how Quran was compiled after the death of Prophet Muhammad saw? Do you know how many verses were left behind during the compilation of Quran? Do you know how many verses were denied openly during the compilation and they were true verses according to them ?

Do you know how many verses were taken from the single source? Do you know that there were two Quran Versions during the time of ‘Uthman Ibn Affan and one of the Version was burned just because it was considered as a false version?

Who knows that it was false version? And how do you know that the version you are using now is a true one? Do you know how many verses were translated from local Arabic Language into Quraysh dialect to make sense?

With these questions, it makes sense that Quran can’t be the book that has never been infiltrated.

Being in Arabic Language doesn’t make it Original.

So we have to stop this madness na hii little ego, no one is better than anyone else.

HAKUNA ANAYEDHURIKA, acheni ku provoke people na Serikali ikemee haya matendo na kukamata wote wenye ku provoke watu kwa sababu haya matukio ya uchizi wa kuamini fulani atadhurika akikojolea Kitabu kitakatifu hayatoisha tukiwa tunahukumu upande mmoja.

Hatuwezi Kutoa Maamuzi Kwa Mihemko Ya Kidini Na Kisiasa. Dini Zote Ni Imagination of the Things No One Can Tell You for Sure.

People Will Tell Their Experience Not the Truth.

The Truth Is Still a Mystery.

Thank you
 
[QUOTE="Azarel, Mmmh, Tanzania nadhani ni kati ya nchi zenye Uhuru mkubwa sana wa kutoa mawazo lakini sio kuchana na kuharibu Katiba au Miongozo ya wengine.

Ni Mbunge kutoka CCM tuu aliwahi kuchana chana Hotuba mfu ya Serikali mfu ya upinzani Bungeni hata hivyo alishangiliwa na Chama Tawala na bunge likaendelea kwa nderemo na vifijo. Ule pia ulikua ni wendawazimu kama ulivyo wendawazimu wa kuichana Korani Tukufu.

Jambo la muhimu ni kuwa mkuu wa Dola amechukua hatua stahiki tofauti na mkuu wa Bunge alishindwa kuchukua hatua stahiki Mbunge Wake alipochana Hatuba ya Kambi rasmi ya Bungeni. Vyote ni vichocheo vya uvunjifu wa amani.

Lakini suala la ukabila pia linawezekeana likatafsiriwa hivyo lakini nadhani pia kuna Mmoja ametumia dini vibaya na kusababisha vifo vya makumi ya watu wasio na hatia zaidi ya ujinga lakini hakulala hata mahabusu na serikali ikaonekana kumtetea kuliko Jamii iliyopoteza watu wao. Huenda labda sababu ikawa hiyo uliyoisema hapo au vinginevyo.

Kukemea na kuchukua hatua kwa wavunjifu wa amani kusiishie kwenye masuala ya dini. Pia wakurugenzi wanaovuruga matokeo ya Uchaguzi halali unaowapa watanzania Viongozi nao pia wafukuzwe mana Mara nyingi wamekua chanzo cha umwagaji wa damu na kuumizwa watu hata kujenga chuki kwenye Jamii.

Matokeo ya Jamii inayodhani kuwa hakuna Demokrasia ni kuibuka kwa mijadala ya kijinga na mihadhara na mikutano yenye mihemko ya kidini na kimila isiyo na matumizi ya maarifa.

Ujinga katika jamii ni zao la ujinga katika fikra ,ujinga katika siasa na ujinga katika za mbinu za uchumi.

Mfano: Ukifika Kule jijini Mwanza ,Moshi mjini na vijijini au Kagera Ukachoma Hata Kanisa sio kuchana Biblia, watu wale watakaa kimya na kusalia nje kwenye mahema huku wakitoa michango yao na kuendelea kujenga Kanisa lingine. Bila shaka sababu ni Maendeleo ya kifikra ,kisiasa,kiuchumi na kijamii.

Naunga mkono Kufukuzwa Kazi kwa huyo aliyechana Korani. Hayo ndiyo madhara ya kuchana kitabu cha Dini. Aliambiwa atadhurika akabisha sasa amefukuzwa Kazi. Anayebisha ajaribu tena atapata madhara ya kufungwa Jela.

Tujenge Taifa lenye usawa na kuheshimiana kwa imani zetu ,vyama vyetu na makabila yetu.

Watanzania tuwe kama yule Muzungu anayeipeperusha bendera ya Taifa kwenye mchezo wa mpira na kushauriwa kuwa Sasa atumie jina La Kabila kubwa na kuitwa Masanja. Tumeanza kutambuana kwa makabila yetu.

Naona kama vile tunataka kutambika!
Kwa Heri Baba wa Taifa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Jamaa Bhana.

Kufukuzwa kazi sio sahihi kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma. Na Labda nikufahamishe akishInda kesi Serikali itabidi imlipe. Hata Hivyo, Sio kila kauli ya Rais ni Agizo la Utekelezaji.

Agizo kama hilo la leo, lazima lifuate utaratibu wa kisheria kitu ambacho Maleki atashinda.

Aidha, jitahidi sana ili uwe Great Thinker, epuka sana kujadili mambo ya Ukabila, kwamba amehukumiwa kwa kuwa ni mchaga , are you serious or you are kidding me ?

? Kuna uhusiano gani kati ya kosa na uchaga? Kwanza what is Uchaga? What is the hell with uchaga or ungosha ? Please stop this non sense.

Aidha, Magufuli hayupo sahihi kisheria lakini yupo sahihi kisiasa.

Kwa sababu muslims are very easy to be manipulated and they are too emotional. You can win them just by words .

Praise them and make feel great and respected. So Magufuli ameelewa saikolojia ya Waislam na hutosikia zogo tena hata Maleki akihamishwa mkoa na kwenda kufanya kazi sehemu nyingine, waislam wala hawana tena habari.

Yaani ni mambo ya visasi tu na sio Upendo Na kusameheana tunapoteleza kama binadamu.

Siwatofautishi Na wale waliokufa kule Moshi kwa utapeleli wa muhuni fulani hivi.
 
Do you know how Quran was compiled after the death of Prophet Muhammad saw? Do you know how many verses were left behind during the compilation of Quran? Do you know how many verses were denied openly during the compilation and they were true verses?
Nitajie hizo aya zilizo achwa na utuambie ziko wapi na wewe ulijuaje kama zimeachwa ?

Na aya zipi zililataliwa kipindi inakusanywa Qur'aan, usiandike kama mlevi kijana, kila kitu kimedhibitiwa.

Tuwekee ushahidi wa hayo unayo yasema.
 
Je , Ndugu Maleki alitoa wapi Qur”an wakati ule? Ni nani aliyempa hiyo Quran? na kwanini alimpa? kwanini walimrekodi?

Una hoji mambo kitoto sana. Sasa kama alipewa na mtu, yeye alilazimishwa kuchana au uzwa zwa wake na kujitia ujuaji ndio akapelekea kuchana ?

Sasa huu utoto unatakiwa uupeleke kwa watoto wenzako.
Je Serikali inafahamu kwamba aliyetoa hiyo Juzuu-Amma na kumpatia Maleki ni Muislamu ambaye na ndiye aliyekuwa akichukua hiyo video?

Hii haijalishi, anahukumiwa kwa ujinga wake na hayo ndio malipo ya mikono yake. Swalila msingi liko pale pale, kwani kuchana kwake alilazimishwa au alichana kwa hiari yake, na unasahau yale maneno aliyo kuwa ana yasema ?

Mola wetu ni mjuzi wa kuadhibu sana, wa dini yake ndio amemalizana nae kwa mtindo huo.
Do you know how many verses were taken from the single source? Do you know that there were two Quran Versions during the time of ‘Uthman Ibn Affan and one of the Version was burned just because it was considered as a false version?

Huu uongo umeupata wapi ? Naomba ushahidi wa hili. Na utuambie haya umeyapata wapi ?
Who knows that it was false version? And how do you know that the version you are using now is a true one? Do you know how many verses were translated from local Arabic Language into Quraysh dialect to make sense?

Haya maswali tunakuomba utujibie, inaonekana unaijua sana Qur'aan mzee.

Mimi nakuomba kwa heshima na taadhima unijibie hayo maswalina ujibu maswali yangu huku unatupa na ushahidi kabisa.
 
Nitajie hizo aya zilizo achwa na utuambie ziko wapi na wewe ulijuaje kama zimeachwa ?

Na aya zipi zililataliwa kipindi inakusanywa Qur'aan, usiandike kama mlevi kijana, kila kitu kimedhibitiwa.

Tuwekee ushahidi wa hayo unayo yasema.

Mad!

Yaani mimi ndiyo nikutafutie hizo Aya! Huna access ya kujifunza au wewe ni roboti . You put things without Questioning and learning.

Huu ndio uchizi ambao nimeujadili; eti weka hizo aya hapa , are you serious you old man ?

Waulize Waislam wenzio waliosoma vema or Go find it for yourself.

I don’t write rumeurs, I put things that everyone can verify and criticize. Sasa ni kazi yako kuja na facts. Sio kuniambia weka hizo aya; who are you wewe kuniambia niweke aya ? . You don’t even know how to differentiate between request and command.

Search it for yourself. Lazy Man
 
Una hoji mambo kitoto sana. Sasa kama alipewa na mtu, yeye alilazimishwa kuchana au uzwa zwa wake na kujitia ujuaji ndio akapelekea kuchana ?

Sasa huu utoto unatakiwa uupeleke kwa watoto wenzako.

Hii haijalishi, anahukumiwa kwa ujinga wake na hayo ndio malipo ya mikono yake. Swalila msingi liko pale pale, kwani kuchana kwake alilazimishwa au alichana kwa hiari yake, na unasahau yale maneno aliyo kuwa ana yasema ?

Mola wetu ni mjuzi wa kuadhibu sana, wa dini yake ndio amemalizana nae kwa mtindo huo.

Huu uongo umeupata wapi ? Naomba ushahidi wa hili. Na utuambie haya umeyapata wapi ?

Haya maswali tunakuomba utujibie, inaonekana unaijua sana Qur'aan mzee.

Mimi nakuomba kwa heshima na taadhima unijibie hayo maswalina ujibu maswali yangu huku unatupa na ushahidi kabisa.

Hivi nyie Wat’TZ mnaakili gani ? Why you guys acting so insane?

1. Unasema nilichoandika ni Uongo
2. Unaniambia nitoe ushahidi juu ya kile ulichosema ni Uongo.
3. Tatu unaniomba kwa heshima na taadhima nitoe majibu ya kile ambacho umekiita ni UONGO, Old Madame, are you Mad or Insane( excuse my language, you are acting stupidly)

Hata hivyo, Mimi sio kazi yangu kukufundisha yaliyomo Kwenye imani yako ; you should come here with facts and tell me nilichoandika sio kweli based on this and that.

My home Work to you;

Since you seems you don’t know any things except what you chose to know;

Now go and read or ask your Shekh —How Quran was compiles after the death of Muhammad. The Prophet hakuacha hiyo misahafu mnayotumia nyie kwa sasa.

Quran imekusanywa wakati wa Ukhalifa wa Abubakar baada ya kuona many Muslims died Kwenye Violence za ku defending Islamic faith. Sasa Go and read the whole process including the challenges untill today you are using that version, old woman.

Don’t come here and ask me to do your task again. Come here with the facts and maturity, tell me where I have lied based on available data. Otherwise you are a sheep .
 
Basi huyu muhuni anajikuta akili kubwa sana kisa kaandika na kiingireza ...mkuu umeandika utumbo mtu bora hata ungekaa kimya kuliko kujichagulia upande !!!! Unaonekana umri umeenda alaf hujui dunia ni nini na umezaliwa kwa lengo gani

Sawa.
 
Mad!

Yaani mimi ndiyo nikutafutie hizo Aya! Huna access ya kujifunza au wewe ni roboti . You put things without Questioning and learning.

Huu ndio uchizi ambao nimeujadili; eti weka hizo aya hapa , are you serious you old man ?

Waulize Waislam wenzio waliosoma vema or Go find it for yourself.

I don’t write rumeurs, I put things that everyone can verify and criticize. Sasa ni kazi yako kuja na facts. Sio kuniambia weka hizo aya; who are you wewe kuniambia niweke aya ? . You don’t even know how to differentiate between request and command.

Search it for yourself. Lazy Man
Najua huna uwezo wa kuleta huo ushahidi mpaka unakufa.

Nimekuonyesha ya kuwa wewe ni MUONGO.
 
Back
Top Bottom