BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,323
- 7,902
umeanza
Bwahahahaha jamani babu siumemwomba uji akakupa mja,... Mwache tu aendelee, matokeo tutafanya mazoezi,..
umeanza
mkuu duh hata sijui nifanyeje aisee .... angekuwa ananiruhusu niondoke na uji ningewapa kwa wengine yeye anataka tunywe huku tunapiga stori ndiyo furaha yakeHahaha
Laana sasa unatafuta, hebu jaribu kumalizia bili ya babu mkuu
sijui nirudishe pesa yake me hata sielewiBwahahahaha jamani baby siumemwomba uji akakupa mja,... Mwache tu aendelee, matokeo tutafanya mazoezi,..
ni babu kweli na stori zake za kibabu.......Huyo ni babu kweli au au Mzee kijana??
Ana sumu au hana?
Hahahaaa nataka uniunganishe nae
sijui nirudishe pesa yake me hata sielewi
ngoja nitafute pesa nimlipeUache tabia ya kula vitu vya mwanaume yeyote yule kama si ndugu wala mtu wako wa karibu maana huyo babu alisha jipanga jinsi ya wewe kulipa huo uji sasa wewe una jidai kkukimbia unategemea nini? Babu ana kutaka...
Kimsingi huo uji la utaulipa
Unadhani kati yako na yy nani?alianza kumpa uji mwenziyenataka awe na furaha lakini kama anania ya kunimwagia uji mwingine me sitaki
ha hahaha asante kwa ushauri .. hapana lakiniBwahahahaha sasa amekununia umekataa uji utamrudiashiaje helaaa,!!? We mpoze kwa huruma ya kupokea uji wake,... Lol
yeye kanipa offer ya ujiUnadhani kati yako na yy nani?alianza kumpa uji mwenziye
Mimi namtaka.ni babu kweli na stori zake za kibabu.......
kuhusu sumu sijui kwa kweli
uji wa lishehahaaa...babu wa ujiiii!!!
Ila tusimwazie mabaya bana... Nahisi kwa umri wake alikosa japo mtu wa kumpa kampani...Ni wazi umri unapoenda na kama babu sio mcheshi sana inakuwa vigumu kupata maswahiba hasa vijana hivyo alipoona unamuunga mkono kwa uji akajua amepata rafiki japo wa kumpigisha story... Nakumbuka babu yangu aliniambia, nimekuwa mkiwa mjukuu wangu hata nikionekana bar wananishangaa hata kijiweni vijana wanaondoka hivyo tumia ujana wako vyema uzee ni tabu kubwa...Kufikiri hivyo naomba uongee naye na if possible mwambie nitakuwa nakupa kampani ya uji ila naogopa unene...Akikataa hii offer ujue basi ni mzee mtata hivyo jisogeze pembeni....ha hahahaha mkuu umbo langu nitapoteza mvuto aisee
ha hahaha asante kwa ushauri .. hapana lakini
lishe mama lisheeeeuji wa lishe
ha hahaha najuta mnuno wa babu si mzurilishe mama lisheeee
kwa kweli uji ule mtamu babu anajua kuchagua vitamu kwa kweliAya ila utamu wa uji unajua mwenyew bwahahahaha
loooh!anza kua unachukua halafu unagawaha hahaha najuta mnuno wa babu si mzuri
kwa kweli uji ule mtamu babu anajua kuchagua vitamu kwa kweli