Babu Tale, Mbunge wa CCM na Meneja wa Diamond Platnumz asema hawezi kufua nguo za ndani

Mlimchagua wenyewe sisiem , hii miaka mitano sheria zitakazo toka humo sijui zitakuwa zanamna gani maana walio ingia humo hata Mungu anashangaa wametokea wapi!
 
Kwanini uteseke kufua,kuwa mmasai wewe ni rubega unafua na raiyooo unaichovya kwenye maji ukiitoa ni mpyaaa

Kazi zingine mnajiongezea wenyewe
 
Ahahahaha si ana mihela mtaenda kumfulia wapenda kuhongwa😝
 
Ahhaahaa.
Mkewe ni marehemu tayari,sa hivi anavaa zile chupi disposable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…