Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,943
- 93,862
Alipita kwa kura za maruhani, bila kupingwaHuyu ubunge aliupata vipi kama hata kuongea tu hajui?
Alipita kwa kura za maruhani, bila kupingwaHuyu ubunge aliupata vipi kama hata kuongea tu hajui?
Hatujaumbwa tuwe wajinga bwana!Acheni kubeza kila mtu kuna namna Kaumbwa huwez kubadilisha hilo na umechukua kipande tu cha clip hujui alikuwa anaongelea nn
Acha ulofa wewe, maisha ya mtu binafsi yanabaki kuwa maisha yale binafsi.Mbunge CCM Babu Tale amekiri kuwa yeye huwa anavaa Underwear japo hawez kufua. Hii ndio dizaini ya wabunge wa CCM tulionao huku tukitegemea ndio watutungie sheria kwa uzwazwa huu
View attachment 1641576
CCM, Mbunge wenuKha! Huyu mwanaume ni kabila gani????
Naona aibu mimi😐😳🙈🙈🙈🙈
Hajazoea kufua chupi hata kwa machine,mambo ya kukamua na kuanika hawezi etiKam hawezi kufua chupi zake si anunue mashine ya kufulia
Ila ni mbunge.Kumbe huyu jamaa ndio anaongea vibaya hivi
Hata muonekano wake wa kijinga kinyama na anachokiongea ni bure kabisa
Ahahahaha si ana mihela mtaenda kumfulia wapenda kuhongwa😝Acha tu, ana ndugu na familua, watoto pia halafu anasema amedekezwa hata kufua chupi hawezi, halafu unaambiwa huyo ni kichwa cha familia na ni kiongozi wa wananchi
Imagine baba hajui kufua hata chupi, sijui kama anaweza hata kuogesha mtoto in case mama ni mgonjwa
Ahhaahaa.Acha tu, ana ndugu na familua, watoto pia halafu anasema amedekezwa hata kufua chupi hawezi, halafu unaambiwa huyo ni kichwa cha familia na ni kiongozi wa wananchi
Imagine baba hajui kufua hata chupi, sijui kama anaweza hata kuogesha mtoto in case mama ni mgonjwa
Mie pia nakupenda ila siwezi fua chupi 😍!!! Vipi nije mama?Kwa kweli
Ndio mumeo sasa, utafanyaje na watoto 4 umemzaliaHahahah unamuona mume anaongelea chupi zake chafu in public
Dunia inaenda kasi sana
Kwahio jamaa sio kidume, si mnasemaga mume akiwa na hela inatosha😂Si kila mvaa suruali ni mwanaume