mujimali
Senior Member
- Jun 21, 2013
- 190
- 115
Chid Benz a.k.a chuma, ambae hivi karibuni afya yake imeshtua wadau wengi wa muziki na hata wale wasio wadau, kutokana na kudhoofika sana jambo ambalo kwa kiasi kikubwa limechangiwa na utumiaji wa dawa za kulevya.
Mkali huyu wa "Dar es salaam stand up", alikiri na kuonesha majuto, na kuonesha nia thabiti ya kubadilika, hivyo kutaka msaada wa wadau mbali mbali.. Hatimaye msaada huo umewasili.
Hamis Tale au Babu Tale amejitokeza na kuonesha nia ya kumsaidia Chid benz, katika ukurasa wake wa Instagram amepost video clip anamuonesha akiwa yeye na Chid na kuandika caption inayoonesha dhahiri anayo nia ya kumrudisha chid kwenye mchezo.
Natumai huyu jamaa atabadilika kweli this time.