Norton82
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 721
- 620
ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈAjiandae kutoa ndogo
ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈAjiandae kutoa ndogo
ππ½ββοΈππ½ββοΈMzee kesi ya babu seya ni complicated kuliko benzane hexane na propane
Labda katumia vumbi la CongoNakumbuka kwenye kesi yake akikata rufaa na kusema kwamba yeye ni hanisi aka impotent, sasa naanza kupata mashaka....
Si ungeandika Kiswahili tu,sasa hii ni nini,si mkusanyiko wa maneno tu,dah.You man that does not mean an impotent person can not marry. Impotent can not bear a child or let me say he can not cause a woman to get pregnancy in a normal way.
Sio maalifa ni maarifaSerikali ya awamu ya wabakiji hii, wanatoana jela wanakaribishana IKULU na wanaona.
Huku mashekhe wa UWAMSHO wakiachwa jela miaka nenda rudi bila hukumu.
Nchi inaangamia kwa kukosa maalifa.
Hivi kweli kesi ya wale mashekh hakuna hata mawakili wa kusimamia kesi yao kweli?Serikali ya awamu ya wabakiji hii, wanatoana jela wanakaribishana IKULU na wanaona.
Huku mashekhe wa UWAMSHO wakiachwa jela miaka nenda rudi bila hukumu.
Nchi inaangamia kwa kukosa maalifa.
Serikali ya awamu ya wabakiji hii, wanatoana jela wanakaribishana IKULU na wanaona.
Huku mashekhe wa UWAMSHO wakiachwa jela miaka nenda rudi bila hukumu.
Nchi inaangamia kwa kukosa maalifa.
Inaelekea shule yako mlipishana. Ulikulia kwa Babu.Si ungeandika Kiswahili tu,sasa hii ni nini,si mkusanyiko wa maneno tu,dah.
Kaanza lini kasimisha?View attachment 1200956Mwanamuziki Mkongwe nchini almaarufu kwa jina la Nguza Viking aka Babu Seya amefunga ndoa takatifu leo jijini Dar na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Esterine Haule. Tunawatakia kila lakheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya ya Ndoa. #harusi #ndoa #furahayapamoja
=====
Mwanamuziki Nguza Viking maarufu (Babu Seya) leo Jumamosi Septemba 7, 2019 amefunga ndoa na Bi. Desderia Haule. Ndoa hiyo imefungwa katika kanisa Katoliki la Sinza. Bi. Desderia Haule ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza mkoani Tanga.
View attachment 1201103View attachment 1201099
Hata kama wewe ni wa kizazi cha dot.com unaweza kuwa na ung'ng'e mzuri.Tatizo ni juhudi.Inaelekea shule yako mlipishana. Ulikulia kwa Babu.
Alivyo toka jela alikwenda nyumbani kwake akakuta Nyumna yake imeshauzwa na mke wake ajui alipoenda.Mama wa watoto wake alifariki?
Usisahau na sumu ya mapeendoDaaaaaaaa Salima Salima,Fanta wangu.
Labda impotance yake ilikuwa kipindi cha shauriMzee katika utetezi wake si alisema jogoo hapandi mtungi!