Babu Seya afunga ndoa na Katibu Tawala(DAS) wa Muheza

Hujui unalolisema we mbwa.
Hii kesi ndiyo inanifanya mpaka leo namuona JK ni mnafiki na mzandiki. Wewe mpori mpori hujui kitu kaa kimya. Sisi watoto wa mjini tunajua A-Z. Enzi inawezekana ulikua kwenu Nachingwea nyau weeee
We hujui kuliko sie tuliokuwa tunamkuta Silent inn na Igongwe disco toto!
Hem mambo mengine na yapite tu!
Nyavu zimekatwa sana shule ya Mugabe , heb mimi!
MXXXXXXIE
 
We hujui kuliko sie tuliokuwa tunamkuta Silent inn na Igongwe disco toto!
Hem mambo mengine na yapite tu!
Nyavu zimekatwa sana shule ya Mugabe , heb mimi!
MXXXXXXIE
Mkuu, inamaana Babu Seya alikua anakata nyavu kwenda KUGEGEDA WATOTO? Au?
 
Alifungwa tena. Mahakama ilibatilisha hati yake ya mashtaka. Wewe hukusikia DPP ali-revoke msamaha baada ya Magu kufa, 2021.
Hii sio kweli mkuu, utakuwa umepewa story na wanywa kahawa wa chini ya muembe. Ndo yale yale ya kumuhusisha JK na kesi yao, na wakati babu Seya alifungwa na utawala wa Mkapa.
 
View attachment 1200956Mwanamuziki Mkongwe nchini almaarufu kwa jina la Nguza Viking aka Babu Seya amefunga ndoa takatifu leo jijini Dar na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Esterine Haule. Tunawatakia kila lakheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya ya Ndoa. #harusi #ndoa #furahayapamoja

=====

Mwanamuziki Nguza Viking maarufu (Babu Seya) leo Jumamosi Septemba 7, 2019 amefunga ndoa na Bi. Desderia Haule. Ndoa hiyo imefungwa katika kanisa Katoliki la Sinza. Bi. Desderia Haule ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza mkoani Tanga.
View attachment 1201103View attachment 1201099
Vaa vizuri mpenzi wangu, upendeze
Donge liwashike, mabusu motomoto
Mimi na wewe, mpaka kufaee mama yee!!


Uusiwasikilize haaaoo, wanaotaka kuharibu mapeeeeeeeeeeeeeeeenzi eeeeeeeee!!!
 
Naona hii familia imeamua ipotee kabisa kwenye masuala yao ya muziki. Siku hizi siwasikii kabisa kwenye media! Siyo huyo Babu Seya, wala mtoto wake Papi Kocha.
 
Back
Top Bottom