Babu Loliondo azidi kuvuma Ng'ambo

Msharika

JF-Expert Member
May 15, 2009
947
69
Jamani hapa nagasaki university kuna maprofessor 4 wanajiandaa kuja huko kupata kikombe. wanamatatizo mbalimbali , ikiwepo pressure, kisukari na kjogoo kutopanda mtungi.
Pia Kenya wameamasika sana na wanamiminika sana.
angalia hapa: Daily Nation: - DN2 |Africa
 
Kikombe cha Babu Hoyeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!! Wangekuwa ni wakenya Babu angefahamika dunia nzima lakini kwa wabongo kama kawa publicity ni zero!
 
Hv WanaJF! Hv hawa jamaa walikujaga kupata kikombe? Mwenye kujua hebu twendeni pamoja angalau 2juwe km walipataga kupona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom