Babu kaua!!!

Babu kaua!!!

Pompoo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
362
Reaction score
41
MCHUNGAJI: Yeyote mwenye
pingamizi la haki kwa ndoa hii
asimame na aje mbele.
Mara kibabu kimoja kikasimama na
kwenda mbele...!
Bibi harusi alipomuona tu yule babu
akazimia...
MCHUNGAJI akamuuliza, tueleze
pingamizi lako!!.
Kibabu kikajibu: "Nimeamua kuja
mbele kwasababu kule nyuma
sisikii!!!"
 
Hahahha jamani huyo babu kiboko na bbi harus nae hajiamini

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Au labda maali haikuisha vizuri

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom