Babu Aspirin

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,997
Kwanza shikamoo Babu yangu mpendwa, mimi mjukuu wako huwa nakupendaga dats y huwa nakwambia ukweli na sio kukusema pembeni. Basi babu uwe unapalilia mazingira co kusahau kiasi hiki. Ndimi mjukuu wako Mpendwa charminglady
 
Last edited by a moderator:
Uwwwiiiiiiiiiii.........sasa hapo ni utamu au????
 
Mi simo ngoja arudi nitawasemea mlikuwa mnamchungua wakati anachekacheka kule mtoni alivyokuwa anaoga!
 
babu Asprin gawa chata tofauti pulizzzzz, yangu ya ODM itaki kushare! na maeneo tofauti, mjukuu wako huyu kiboko, mpaka majini?? kha! gfsonwin, unafunda watu mpaka majini???
 
Last edited by a moderator:
Sory nimepita kwa wakubwa wakaya, lakn sijaona kitu ngoja niwah tuisheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…