Babie Kabae na Udini Clouds Tv


Islamophobia
 
Shika maandiko wakat wa ujana wako. Kila jumapili Clouds fm kuna kipnd cha Nyimbo za Dini.
Kina lipiwa na ni kipindi maalumu kwaajili hiyo, Hata ITV, Channel 10, TBC huwa kuna vipindi maalumu vya dini ya kiislamu hivyo havina tatizo maana ni rasmi.
 
CLOUDS hupiga kwaya siku nzima ya JUMAPILI.. waislam hawakuwahi kulalamika! Nadhani mbasumguliwa mnasumbuliwa na SUPERIORITY complex! Hamjaanza leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…