Babie Kabae na Udini Clouds Tv

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Huyu dada ni mtangazaji mzuri sana ila anakera sana kila siku anakomaa kutuhubiria habari za uislamu, kutufafanulia mafundisho mbalimbali ktk vipindi vya 360, nilidhani ananikera mimi tu ila nimewahi kukaa vijiwe zaidi ya viwili tukawa tunaangalia 360 nikasikia watu wengine wakikerwa pia.

Baby Kabaya we fanya kazi iliyokupeleka, habari za kutufundisha uislamu peleka Iman Tv huko au nunua kipindi maalumu. Kila mtu hapo clouds akianza kufafanua mafundisho ya dini yake hapatatosha. Acha hayo mambo.
==========

Updates
Leo amejirekebisha. TCRA angalieni vipindi vyote vya redio na TV wasituletee maudhui tofauti na waliyoweka kwenye maandiko yao kipindi wanaomba leseni.
 
Kwani uislamu una ubaya gani?!!
 
Kwahyo kusema tu kuhusu siku ya Ijumaa wewe imekukera... vipi ikifika jumapili huwa haisemwi hiyo siku na maudhui yake...???

Chuki itakuua kijana
 
Nikajua ni mimi tu.
Nliachaga kusikiliza Clouds because of her
 
Mkumbuke Mola wako wakat wa Ujana wako. Shika maandiko wakati Ujana wako.
 
Hivi leo ni lini? Naona mlianzia usabatoni sasa mnaelekea Clouds kwa Kabaye na uislam. Sijui mkitoka huko mtaenda kwa nani? Labda Yericko Nyerere aje atusaidie.
 
Kwahyo kusema tu kuhusu siku ya Ijumaa wewe imekukera... vipi ikifika jumapili huwa haisemwi hiyo siku na maudhui yake...???

Chuki itakuua kijana
Huyu kila siku si ijumaa wala jumatatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…