Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Hahahahaha
Ukisoma kwa makini kuna funga na fungua semi...
Mwanzo kabisaa na mwisho, mie nilijua anamfariji mleta mada kama tulivyofanya ila kaja kwa namna yake!
Matokeo ya shule za kata na lugha iliyotumika labda. Mimi sikuelewa kabisa na hata sasa sijaelewa. But again haya ni mambo ya watu tuyaache tu yalivyo...






