Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,850
- 183,096
Acha kuhangaika na wakata tamaa walokariri maisha.
We jamaa bana. Sina mke by the way ila hata kama ningekuwa naye akiloa/asipoloa wewe inakuongezea au kukupunguzia nini kamanda?
Ngoja tusiharibu uzi wa watu kwa sababu inavyoonekana unatafuta shari tuanze kutukanana mwishowe tulimwe ban. Sitakujibu tena [emoji16][emoji16]