Babe, I am afraid this was never meant to be...

Ndio maana sikutaka kuandika chochote from the first place. Yashanitokeaga haya manyaunyau before.
Kama unategemea matumizi ya alama za kufungua na kufunga semi kama chombo muhimu cha kufikishia ujumbe wako kwa kweli haya manyaunyau na yaendelee tu kukukumba kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hamna bana hata ule mstari wa mwisho hukuuona kaka au umeamua kuwa kabishi tuu
 
Back
Top Bottom