Baba yangu huwa ananibaka

Baba yangu huwa ananibaka

...lakini machale yalinicheza baada ya kutoa ushauri ndiyo ikabidi nifuatilie threads zake za nyuma. Binti mbaya sana huyu anaweza kusababisha baba yake akaishia lupango kwa miaka mingi sana.

Mi nimekuangaliaa tu umejikakamua kutoa ushauriii haahahahahah
 
Huyu atakuwa anajuana na baba yake hapa anatuzingua tu! Wapo wengi sana wa hivi....
 
Naona upo agano la kale....
tafuta update ya agano jipya basi....
ushauri tu lakini.
NENDA SOMA SIKUJA KUITANGUA TORATI ILA KUIPATILIZA:
NA MUNGU ALISHASEMA KWA KINYWA CHAKE NENO LILILOTOKA KWENYE KINYWA CHAKE HALITAMRUDIA BURE LAZIMA LITIMIZE MAKUSUDI YALE ALIYOLITUMIA:
 
Ndiye yeye huyu baadhi ya threads zake ziko very questionable. Sijui kama alichoandika kina ukweli.
Hata kupiga kelele inakuwa shida? nina mashaka na hii stori. kukata si tu kumwambia mama pekee bali tangu tendo linaanza hata kwa kung'ata au kubinya koro..
 
Tatizo lilianza pale alipoanza kukutumia msg za mapenzi, na tulikushauri umwambie mama yako, je ulimwambia??
 
Kama ni kweli amedanganya amemuaibisha sana babake au ni mtoti ambae mamake hajui alipewa mimba na nani hivyo hamjui babake ndio maana anaweza kuandika vibaya kuhusu baba ama mwandikaji ni mwanaume anajifanya ni mwanamke si mambo yenye busara hayo
 
Ndiye yeye huyu baadhi ya threads zake ziko very questionable. Sijui kama alichoandika kina ukweli.
Haka katoto nilishasemaga..msipoteze muda wenu..kwanza ni kajinga na kaongo...ndio madhara ya wazazi kuwapa smartphone vitoto vdgo ...haya vibaingia jf kuandika upuuzi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahah jamiiforums ni kiboko, watu wafukunyuku humu. . . . . kweli usidanganyae humu jf
 
Back
Top Bottom