Baba yangu huwa ananibaka

Baba yangu huwa ananibaka

Mara ya kwanza christmas alikuwa amelewa amerud nyumban ucku akanfata chumban akanifanyia kwa lazima mama hakuwepo nilibak na wadogo zng, aliponifanyia hivo akawa anakimbia kama akibaki nyumban anabaki room anatoka kdogo anarud room

aliporud mama mimi nikamwambia mama nataka nihamie hostel niwe narud nyumban holidays na cku 1 weekend mama alikubal baba akakataa nikanyamaza ckumwambia mama. Yeye haendagi kazin j2 jana ameenda amesahau files nyumban amemwambia mama nimpelekee nimefka amenikamata kwa nguvu akanibaka tena

Leo asubuh ametupeleka shule kama akatupeleka shule ananza kunishusha mm alafu anawapeleka wadogo zangu leo ameanza kuwashusha wao halafu akanipeleka mm. Ameongea nicmwambie mama au mtu mwingine nikiwa nashuka ananiambia nimkiss mdomo

Nataka nimwambie mama naogopa nikikaa nisimwambie atanifanya tena nimeanza kumuogopa hata nkickia saut yake na naogopa kumwambia mama nataman nipotee niende mbali lakin cwez
We mzoefu wa kusema uongo. Tafadhali acha kutupotezea muda
 
pole sana, kama story ni ya kweli.
 
Hadi machozi yamenitoka, tafuta mtu mzima na ambae ni ndugu wa upande wa baba aje nyumbani umueleze mama huyo ndugu akiwepo najisikia hata kukusaidia uhame hapo nyumbani ila ni swala la kupeleka mashtaka kwenye haki za binadamu utakuja kukusumbua kisaikolojia unahitaji pia ushauri nahasa kutoka wataalamu wa afya, asije kuwa na ukimwi akakuambukiza unatakiwa kupimwa na angalia usije kuzaa mtoto na babako
 
Mara ya kwanza christmas alikuwa amelewa amerud nyumban ucku akanfata chumban akanifanyia kwa lazima mama hakuwepo nilibak na wadogo zng, aliponifanyia hivo akawa anakimbia kama akibaki nyumban anabaki room anatoka kdogo anarud room

aliporud mama mimi nikamwambia mama nataka nihamie hostel niwe narud nyumban holidays na cku 1 weekend mama alikubal baba akakataa nikanyamaza ckumwambia mama. Yeye haendagi kazin j2 jana ameenda amesahau files nyumban amemwambia mama nimpelekee nimefka amenikamata kwa nguvu akanibaka tena

Leo asubuh ametupeleka shule kama akatupeleka shule ananza kunishusha mm alafu anawapeleka wadogo zangu leo ameanza kuwashusha wao halafu akanipeleka mm. Ameongea nicmwambie mama au mtu mwingine nikiwa nashuka ananiambia nimkiss mdomo

Nataka nimwambie mama naogopa nikikaa nisimwambie atanifanya tena nimeanza kumuogopa hata nkickia saut yake na naogopa kumwambia mama nataman nipotee niende mbali lakin cwez
Vick binti yangu ndo umeamua kunitangaza huku??

Sasa dozi itakuwa doubled
 
Pole sana usikae kimya nimesikia uchungu sana. Mwambie mama bila kusita na pia ukapimwe kama hajakutia ujauzito au kukuambukiza magonjwa. Huyu hana hadhi ya kuitwa baba. Nakuomba sana usiendelee kukaa kimya.
Ila huyu threads zake nyingi sizielewi, hapa chini ni baadhi ya threads zake:
1. Kwanini wababa wa Tanzania hawapo karibu kulea watoto wao wa kike?
2. Mzazi kama huyu unamfanyaje?
3. Baba yangu hanipendi kwasababu ya tabia zangu
4. Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza
5. Kwa nini wanaume wa Tanzania wapo hivi?
6. Je ni umri gani unaofaa kuanza kufanya mapenzi
7. Mwalimu wa kemia ananitaka kimapenzi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhuni tuu huyu hana lolotee

Ila huyu threads zake nyingi sizielewi, hapa chini ni baadhi ya threads zake:
1. Kwanini wababa wa Tanzania hawapo karibu kulea watoto wao wa kike?
2. Mzazi kama huyu unamfanyaje?
3. Baba yangu hanipendi kwasababu ya tabia zangu
4. Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza
5. Kwa nini wanaume wa Tanzania wapo hivi?
6. Je ni umri gani unaofaa kuanza kufanya mapenzi
7. Mwalimu wa kemia ananitaka kimapenzi
 
mmh yaani mambo kama haya ndio yanayonifanyaga nakuwa sio mwl tena.
ukisoma mabandiko yake ya nyuma its like baba yake alianza kumtafuta huyu binti kimapenzi thru hizo text alizokuwa anakosea kumtumia. istoshe huyu nadhani ni mtoto mdogo sana ambaye na mwenyewe akili yake haina akili.

huyu binti yuko desperate ana anahitaji msaada wa kisaikolojia. aende kwa washsauri nasaha ili akapate msaada.
ila kama umebakwa na baba yako jua hiyo dhambi na itakutafuna unless umetubu sana
Yani kubaka abake baba yake;afu kutafunwa na dhambi atafunwe yeye?Aisee naona hii kanuni mpya ya kiroho.
 
Ila huyu threads zake nyingi sizielewi, hapa chini ni baadhi ya threads zake:
1. Kwanini wababa wa Tanzania hawapo karibu kulea watoto wao wa kike?
2. Mzazi kama huyu unamfanyaje?
3. Baba yangu hanipendi kwasababu ya tabia zangu
4. Wanaume wa Tanzania hawajui kutongoza
5. Kwa nini wanaume wa Tanzania wapo hivi?
6. Je ni umri gani unaofaa kuanza kufanya mapenzi
7. Mwalimu wa kemia ananitaka kimapenzi
Attention seeker tu halafu alivo wa ajabu akisha post ka uzi kake asepa atuacha siye tuna bishana hapaa weee!! Yeye ana tucheki tu, inatakiwa akitoa uzi wake tuna mkaushia tu
 
Hata hivyo ni laana kubwa, kama baba hafanyi hivyo na yeye ametuma huu uzi, ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu! Ewe Mwenyezi Mungu angalia kizazi chako cha miaka hii!
 
Yani kubaka abake baba yake;afu kutafunwa na dhambi atafunwe yeye?Aisee naona hii kanuni mpya ya kiroho.
laiti ungelijua kuwa dhambi hupatiliza usingesema hivyo.
Mungu hupatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne na yeye hurehem maelfu elfu wampendao na kuzishika amri zake.

Kila dhambi aitendayo ancestor wako ni laana kwako na wanao. unless utubu na ujitenge na uovu huo.
Mungu akupe neema uelewe ni kwajinsi gani dhambi ya mzazi kumchafua mtoto
 
Huyu ni fa... L. A, hivi kweli unaweza kuleta utani kwenye suala linomhusu babayako kweli!
 
laiti ungelijua kuwa dhambi hupatiliza usingesema hivyo.
Mungu hupatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne na yeye hurehem maelfu elfu wampendao na kuzishika amri zake.

Kila dhambi aitendayo ancestor wako ni laana kwako na wanao. unless utubu na ujitenge na uovu huo.
Mungu akupe neema uelewe ni kwajinsi gani dhambi ya mzazi kumchafua mtoto
Neno linasema..."na baba hatobeba tena msalaba wa mwanaye na wala mwana hatobeba tena msalaba wa wazazi wake".
Hayo mengine mmeyabeba akilini mwenu.
Dhambi utendewe wewe alafu ikutafune tena wewe?Matukio mengine ni coincedence za maisha.Hata kama ancestors wako walikuwa malaika sana lazima utaumwa na tabu za maisha utapata,changamoto utapata tu na siku moja utakufa.
 
laiti ungelijua kuwa dhambi hupatiliza usingesema hivyo.
Mungu hupatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne na yeye hurehem maelfu elfu wampendao na kuzishika amri zake.

Kila dhambi aitendayo ancestor wako ni laana kwako na wanao. unless utubu na ujitenge na uovu huo.
Mungu akupe neema uelewe ni kwajinsi gani dhambi ya mzazi kumchafua mtoto
Naona upo agano la kale....
tafuta update ya agano jipya basi....
ushauri tu lakini.
 
Back
Top Bottom