Baba yangu hataki nioe kabila tofauti na langu

Usikubali ushauri wa Mzee wako anataka umfurahishe yeye na si wewe ufurahie ndoa yako.
 
Yaelekea mzee wewe ni mdharau kwenu sana....jukumu la msingi la mwanaume ni kuendeleza nyumbani,sasa huu upuuzi wenu wa kujifanya eti mmpenda mahali,dada zenu kwenye kabila lenu waoelewe na nyani?

Kupenda ni very subjective,ni maendekezo,penda kwenu,oa wa kwenu mungu akusaidie..pay homage to your ancestors
Daaaaa yaani napakubali kwetu saaana, na nilikua napenda nipate msichana toka kwetu, lakini ndio nimebahatika kumpata huyu sina namna mkuu, na mpaka sasa tumeshafanya vitu vingi kwa pamoja
 
Mazee mengine hovyooo uckute hata halikukusomesha hata kindergarten then linakupangia serious issue Kama hizo.....bwana mkubwa Fanya kile roho inapenda na Mungu atakusimamia nothing will affect you
 
Wengi wanaochangia nafikiri hawajaoa,hawajui maisha ya ndoa yalivyo:kuna kuumwa ,kufirisika,kugombana,kufa au kufisha,undugu na mambo mengine...mzazi wako anapokuchagulia pa kuoa usifikiri hana akili,anajua maana ameyaona mengi.USHAURI:Kama umepewa option ya kuoa huyo mchumba wako muoe lkn pia muoe na huyo ulieambiwa na baba yako.NB:ukifanya jambo lolote bila idhini ya baba yako hautofanikiwa kwenye hii dunia.kuna watu wengi tu kwenye asili ya kwenu wameoa wake zaidi ya mmoja,alafu simama kiume usipelekeshwe pelekeshwe na mwanamke,hao wanawake sio Ndugu zetu,subiri ukipata matatizo ndio utajua familia yako na ya Mke wako wa wapi wanajali.
Mkuu siwezi kuoa wake wawili, lakini kingine huyu mchumba wangu tayari Kuna vitu vingi tumefanya pamoja ikiwa ni pamoja na biashara, kujenga nyumba yetu ninayo kaa sasa, tutakapoachana Kuna vitu vingi itabidi tugawane na mimi siko radhi kumpoteza mtu ambaye amejitolea kwa ajili yangu
 
We unampoteza huna lolote unalolijua...

Dada wa watu kateseka nae na wamefanikiwa huyo mwanamke wa kabila lake aje kula vya bure tuu mxiuuuu...

Acha kumpoteza mwenzako,
Yaani hajui binti wa watu alivyopambana kuhakikisha tunakua vizuri, alafu mwenzake aje kula kizembe tu
 
baba yako ana akili sana hata dangote kaoa kwao...

k ni k tu ukija kuwa mkubwa utaelewa.. chukua k ya kwenu... wahaya wanajitahidi sana kwenye hili na ndio maana ndoa zao zinadumu sana
Sasa Mkata kiu unataka aoe kwao kwa kuwa k ni k? Cha msingi hapa ni upendo tu
 
Mazee mengine hovyooo uckute hata halikukusomesha hata kindergarten then linakupangia serious issue Kama hizo.....bwana mkubwa Fanya kile roho inapenda na Mungu atakusimamia nothing will affect you
Hapana mzee kanisomesha saana, na kila hitaji alikua ananitimizia sijawahi Pata shida ya kifedha akashindwa kunitatulia ila ndio hivyo ananipangia wa kuoa, sababu anajua yuko vizuri kiuchumi kwa hiyo nikikwama anajua nitamfuata yy
 
Kwanza, hadi hapo ulipofikia upo sahihi na umejitahidi sana, pili usimwache huyo mchumba wako kwani mnaendana, tatu, achana na mawazo yaliyochakaa ya baba yako, isitoshe hakuna uhakika kama huyo Ni baba yako kweli. NNE, watumie wanaokuunga mkono kumshawishi baba aachane na hayo mawazo ya kizamani.
 
Sasa mkuu mtoto wa watu umempotezea muda wake siku zote hizo, anakujali, anakupenda, ana ushauri wa kujenga juu yako, na mmepanga malengo makubwa tu hapo baadae alafu uje kumtosa kisa kulinda mila zisizo na faida? Hata mungu anaweza akuadhibu

Uchumba sio ndoa mkuu...ndoa ni kitu kingine kabisa..

Asiesikia la mkuu huvunjika guu...baba yako hana maslahi yoyote anapata ukioa kwenu,sio kwamba ana ajenda ya siri ambayo ni evil...anajua mengi...sasa wewe kurupuka tu.

Mwanaume ambae anaacha damu yao anaoa kwingine ni wa hatari sana,anaweza hata choma moto kijiji alichozaliwa...

Wanawake waolewe na yoyote,ila mwanaume hata kwenu unashindwa wasaidia endeleza uzao?Walao msaada wa uzao?
 
Kwanza, hadi hapo ulipofikia upo sahihi na umejitahidi sana, pili usimwache huyo mchumba wako kwani mnaendana, tatu, achana na mawazo yaliyochakaa ya baba yako, isitoshe hakuna uhakika kama huyo Ni baba yako kweli. NNE, watumie wanaokuunga mkono kumshawishi baba aachane na hayo mawazo ya kizamani.
Tatizo mzee kwenye ukoo yeye ndio kila kitu, yeye ndio huwa anapanga kila kitu kwa sababu tu pesa anayo kwa hiyo sio rahisi kufuata ushauri wa ndugu, sababu anaamini yeye ndio kila kitu, na ndio maana mimi nililijua hili nikajipanga mapema na mchumba wangu ili ikitokea akanipinga, niwe na pakukimbilia maana yeye ana msemo mmoja ukiwa kwake unapaswa ufuate kila kitu anachoamua yeye, kama una maamuzi yako basi uondoke kwake, na ndugu zangu kibao wanashindwa kwa sababu hiyo ya kumtegemea yeye tu
 
Mawazo yaliyochacha?

Mnaendana nani kakwambia?Au kwavile upo delusional na "love" ?Love ikiisha ndio watu wanarudi kwenye senses zao.

Ulikotoka kuna dada wengi wazuri tu,sio wote wabaya,na wanakutegemea uoe mmojawao uendeleze uzao,unapowaacha na kuona hawafai unaenda kuoa mwanamke kama wao ni sign of disrespect kabisa.

Wamekuzaa,wamekuletea mpaka umekua mkaka mzuri,wanategemea atleast uwaoneshe appreciation,uoe kijijini mwenu au kabila lenu...wanawake wazuri wapo,
 
Tatizo mzee kwenye ukoo yeye ndio kila kitu, yeye ndio huwa anapanga kila kitu kwa sababu tu pesa anayo kwa hiyo sio rahisi kufuata ushauri wa ndugu, sababu anaamini yeye ndio kila kitu, na ndio maana mimi nililijua hili nikajipanga mapema na mchumba wangu ili ikitokea akanipinga, niwe na pakukimbilia maana yeye ana msemo mmoja ukiwa kwake unapaswa ufuate kila kitu anachoamua yeye, kama una maamuzi yako basi uondoke kwake, na ndugu zangu kibao wanashindwa kwa sababu hiyo ya kumtegemea yeye tu

Tatigha nishaelewa,wewe unafanya retaliation ya tabia yake ya mabavu...

I can understand that.

Ushakua mtu mzima,mabavu yake infact hayataweza kua na mashiko as time goes on.

Tatizo linakuja kwako as a man,uliekulia jamii fulani miaka yako yote,na sasa umefikia maamuzi ya kiutu uzima,unashindwaje kuona responsibility ya kuoa kwenu,achana na sijui ananipenda,huo ni utoto na sio sababu maana hata kwenu unaweza pata anaekupenda the same way even better,na uzuri sio sababu maana hata kwenu kuna wazuri equally...

Ishu ni kwamba wewe kwa makusudi mazima umeoa kwingine tu na psychologically nimekusoma unafanya retaliation baba yako ambae ni bully..stori za kusaidiana na huyo msichana wako bado ni stupidity,mwanaume mwenye kengele mbili hawezi ongea mbele za watu eti nimemuoa fulani sababu hua ananisaidia,what a joke of a man..

Wanawake ni wanawake,kwenu kuna wanawake equally beautiful na wamekamilika kama wengine duniani kote,maamuzi ya kuoa hua ni maamuzi ya makusudi,kwanini usiangalie hard enough kwenu walau ukachagua mmoja mwenye maadili yake mkajenga familia ukaheshimika umesaidia kabila lenu?

Mwanaume anaeoa kwao anaheshimika kwenye jamii yake,anaonesha anaheshimu jamii hiyo na ameithamini..

Wewe una matatizo makubwa na baba yako prior this,baba yako ni bully,mbabe na dikteta,solvuni hilo tatizo kwanza.Hili ya mke ni la juu juu tu,kuna mzizi unaujua wewe
 
Uchumba sio ndoa mkuu...ndoa ni kitu kingine kabisa..

Asiesikia la mkuu huvunjika guu...baba yako hana maslahi yoyote anapata ukioa kwenu,sio kwamba ana ajenda ya siri ambayo ni evil...anajua mengi...sasa wewe kurupuka tu.

Mwanaume ambae anaacha damu yao anaoa kwingine ni wa hatari sana,anaweza hata choma moto kijiji alichozaliwa...

Wanawake waolewe na yoyote,ila mwanaume hata kwenu unashindwa wasaidia endeleza uzao?Walao msaada wa uzao?
Mungu mwenyewe hupendi ubaguzi mkuu kumbuka hilo
 
Ubaguzi ni concept ya kipumbavu sana.....mimi nakuona umewabagua dada zako waliokua wanakutumainia tangu unazaliwa ukawapendelea wanawake wa sehemu zingine..

Na kwa upande wako unaona unawabagua wanawake wa sehemu zingine na kuwapendelea wanawake wa kwenu..umeona ubaguzi ilivyo concept ya nani anamuongelea nani kwa perspective ipi na wote wapo sawa..

Mungu mwenyewe unaemtaja hapa ni mbaguzi na hupendelea watu kwa kubagua wengine,yaani bora hata tusimuongelee hapa,maana yeye ni kinara wa ubaguzi

Turudi kwenye hoja,unataka kukwepa jukumu la kuendeleza kwenu,hilo ndio lipo wazi...hata kama wanawake wenu ni wabaya,ni wenu be proud,oa kwenu sio unakimbia...huna hoja hapa,ni ujanja ujanja tu unataka kuleta..

Yaani watu kama nyie ni wa kuchapa,na mpo wengi kweli...

Wewe tangu unazaliwa jamaa yenu ipo na hope na wewe mpaka unaitwa mchumba na wazazi mbalimbali,unakua mkubwa,unasoma,unaenda vyuo vikuu,wasichana wenu wanaendelea kukutumainia,halafu ghafla unajifanya nafata moyo,wakati infact sio moyo ni love dellusional syndrome tu ambayo ni ya miaka michache tu in reality..

Hebu acha kukimbia majukumu ndugu yangu
 
Ni kwel,japo wakigoma kutoa ushirikiano kwa sababu zisizo na msingi ndoa inafungwa

Afunge,wala hamna mtu eti in reality atazuia...afunge tu

uzuri huyo mzee kashaongea,inatosha

Yeye aoe,aende na maisha yake,jamii aliyotoka including baba yake na ukoo wake wamemuona msaliti anaachaje wasichana wa kwao ambao wao ni wanawake pia na sio mawe.

Ataoa na anaweza akawa na maisha mzuri tu ya furaha,who knows.....ila ndio hivyo,kashaambiwa na label ya usaliti anayo maisha yake yote.

Hamna mtu anataka awe na maisha mabaya na huyo dada maana na yeye ni mwanamke pia kama wengine,ila huyu muoaji ndio kashapewa label tayari...

Hata aje afanikiwe vipi,kuna hali fulani tu wa kwao watakua nayo kua kuna underlaying usaliti fulani hivi....ingekua vizuri if huyo mzee asingeongea,tatizo kashaongea.
 
Ubaguzi ni concept ya kipumbavu sana.....mimi nakuona umewabagua dada zako waliokua wanakutumainia tangu unazaliwa ukawapendelea wanawake wa sehemu zingine..

Na kwa upande wako unaona unawabagua wanawake wa sehemu zingine na kuwapendelea wanawake wa kwenu..umeona ubaguzi ilivyo concept ya nani anamuongelea nani kwa perspective ipi na wote wapo sawa..

Mungu mwenyewe unaemtaja hapa ni mbaguzi na hupendelea watu kwa kubagua wengine,yaani bora hata tusimuongelee hapa,maana yeye ni kinara wa ubaguzi

Turudi kwenye hoja,unataka kukwepa jukumu la kuendeleza kwenu,hilo ndio lipo wazi...hata kama wanawake wenu ni wabaya,ni wenu be proud,oa kwenu sio unakimbia...huna hoja hapa,ni ujanja ujanja tu unataka kuleta..

Yaani watu kama nyie ni wa kuchapa,na mpo wengi kweli...

Wewe tangu unazaliwa jamaa yenu ipo na hope na wewe mpaka unaitwa mchumba na wazazi mbalimbali,unakua mkubwa,unasoma,unaenda vyuo vikuu,wasichana wenu wanaendelea kukutumainia,halafu ghafla unajifanya nafata moyo,wakati infact sio moyo ni love dellusional syndrome tu ambayo ni ya miaka michache tu in reality..

Hebu acha kukimbia majukumu ndugu yangu
Mimi huwa nafuata kile ninachoamini amini mimi, na sio kile anachoamini au kupenda mtu mwingine, na hiyo ndio principle ya wanaume wote ulimwenguni
Kwa hiyo hiyo fact ya kusema uoe kwenu afu, wanawake wa kwenu wawe huru kuolewa kokote, huo ni unyanyasaji kwetu sisi watoto wa kiume, kwanini uninyime uhuru wa kuchagua mwenza wangu ninae enda kuishi nae mimi
Kwanini uniwekee mipaka ya kutafuta tulizo la moyo wangu?
Hao unaosema walikua wananitumainia Kwani mimi nimezaliwa kwa ajili yao tu?
Dunia ni Pana acha watu waamue kwa mapana pia.
Lakini mura hebu nambie kule kwetu unatokea kijiji gani yawezekana sisi ndugu mura weito
 
Tatigha nishaelewa,wewe unafanya retaliation ya tabia yake ya mabavu...

I can understand that.

Ushakua mtu mzima,mabavu yake infact hayataweza kua na mashiko as time goes on.

Tatizo linakuja kwako as a man,uliekulia jamii fulani miaka yako yote,na sasa umefikia maamuzi ya kiutu uzima,unashindwaje kuona responsibility ya kuoa kwenu,achana na sijui ananipenda,huo ni utoto na sio sababu maana hata kwenu unaweza pata anaekupenda the same way even better,na uzuri sio sababu maana hata kwenu kuna wazuri equally...

Ishu ni kwamba wewe kwa makusudi mazima umeoa kwingine tu na psychologically nimekusoma unafanya retaliation baba yako ambae ni bully..stori za kusaidiana na huyo msichana wako bado ni stupidity,mwanaume mwenye kengele mbili hawezi ongea mbele za watu eti nimemuoa fulani sababu hua ananisaidia,what a joke of a man..

Wanawake ni wanawake,kwenu kuna wanawake equally beautiful na wamekamilika kama wengine duniani kote,maamuzi ya kuoa hua ni maamuzi ya makusudi,kwanini usiangalie hard enough kwenu walau ukachagua mmoja mwenye maadili yake mkajenga familia ukaheshimika umesaidia kabila lenu?

Mwanaume anaeoa kwao anaheshimika kwenye jamii yake,anaonesha anaheshimu jamii hiyo na ameithamini..

Wewe una matatizo makubwa na baba yako prior this,baba yako ni bully,mbabe na dikteta,solvuni hilo tatizo kwanza.Hili ya mke ni la juu juu tu,kuna mzizi unaujua wewe
Sasa pamoja na hayo hata kama kaongea, Kuna haja gani ya mimi kuoa pale ambapo sijaridhia? Eti kisa tu kuwaridhisha ndugu..
 
Yaani hajui binti wa watu alivyopambana kuhakikisha tunakua vizuri, alafu mwenzake aje kula kizembe tu
Usikubali best....mi nakwambia ukimucha huyo Dada hiyo mikosi itakayokuandama utaomba poo!

M/ Mungu katupa utashi kujua kilicho chema na kibaya sasa akili kumkichwa

Samahani mkuu kwa hii sentensi: Ibilisi anamtumia babaako kusambaratisha kilicho chema...

Piga goti..
 
Dah..... Siku ukimbwaga tu huyo dem wako... mshua anatia timu hapo....anakuwa maza wako....mshua ameyaona madini hapo[emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom