Baba yangu hataki nioe kabila tofauti na langu

Kamuoe huyu binti Mkuu hili la sherehe ya harusi halina umuhimu wowote lakini mtaamua wenyewe mtakavyokubaliana.

Kanisani itabidi tufanye hivyo mkuu ushauri wako nimeuchukua
 
Muoe huyo dada, achana na mambo ya mila na desturi laiti ingekua dini tofauti ingekubidi uwe mpole maana mambo ya Imani yapo deep sna, lakini sio mila
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hebu oeni kwenu bwana...mnadhani dada zenu nani aoe?Acheni kukimbia majukumu,jukumu moja lako kama mtoto wa kiume ni kusaidia kuoa kwenu...acheni ufala
akili yako inafanana na jamaa mkurya tumepiga nae advance cha ajabu anasoma CBG na anatetea kukeketa nikaona kumbe siyo kosa lake mila na tamaduni alizokulia
 
Kuwa makini sana kaka haya mambo yapo na yanatokea sio kwa kuambiwa bali ni kuona

Unapoamua suala kama hili cheza na mila na desturi unaweza kuwin hapa mwanzoni na maisha ukayaanza kama kawaida lkn ukija kukosa watoto, au utakapotokea na mauzauza utakumbuka hizi kauli za mzee

Ya kaisali mpe kaisali ya Mungu mpe Mungu
N:B usichanganye mila, elimu na kabila,,, TAKE CARE
 
Hili suala rahisi tu kama unayaweza masinema. Picha linaanza unampanga vizuri mwanamke wa kikurya sababu za kumuoa (kufake ndoa naye) kwa muda wa chini ya miezi 2. Unamwelewesha vizuri demu wako pia afu unamuoa mke wa pili. Sasa ndani ya hiyo takriban miezi miwili huyo mkurya anafanya vitimbwi kibao (according to script yenu) mpaka mzee mwenyewe anaona 'hapa tumebugi' halafu huyo katorokea pasipojulikana. Unabaki na mkeo mpendwa.

NB: Process nzima ya kumuoa mkurya inakwenda kienyeji tu; yaani hufungi ndoa church.

Kudharau mila (furaha ya baba yako) haitakuacha salama.
 
Sijakupata mkuu, umetetea mila afu baadae unasema nisichanganye, sasa kipi ni kipi
 
Duuuuu binti gani atakubali kucheza hilo game? Anweza akanogewa mzee akawa king'ang'anizi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijakupata mkuu, umetetea mila afu baadae unasema nisichanganye, sasa kipi ni kipi
Hakikisha mzee unamuweka sawa hata ili akukubalie kiroho safi,,

Nilimaanisha usitumie elimu uliyo nayo kupuuza command ya mzee,,

Usilazimishe kuoa kabula hajakubali MAKUBWA YATAKUPATA JAPO SIKUTISHI nina reference wala co ya kusimuliwa
 
Ni ushauri tu .jiulize ni kwa nini Siku hizi ndoa nyingi hazidum au zina migogoro isioisha.Luna watu wameziacha nyumbani zao na Mali zao na KWENDA kuanza moja.hizo Mali zinaisha ila undugu na ubinadam unabaki pale pale.
 
Mwambie babako tabia ya kulazimisha ndoa za kabila moja imepelekea nchi kama kenya,malawi,zambia kuwa na watu wenye sura mbovu.kwann unadhan singidakuna watoto.mixing ya waarab na waswahili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we noma sana.
 
kwa akili za harak haraka nimetambua kuwa mzee wako bado ni wale wazee wa zaman na misimamo yakizamani
kumbadilish mtu kama huyo ni vigumu sana na huchukua muda mrefu sana

ila as long as umekaza na unamsimamo wako wee kaza alf mzee at the end ata legeza mwenyw mana hakuna namna
 
Kweli kiongozi wazee wenye itikadi za mila, sidhani kama Kuna mtu anaweza kumbadilisha mawazo
 
Ni ushauri tu .jiulize ni kwa nini Siku hizi ndoa nyingi hazidum au zina migogoro isioisha.Luna watu wameziacha nyumbani zao na Mali zao na KWENDA kuanza moja.hizo Mali zinaisha ila undugu na ubinadam unabaki pale pale.
Kwa hiyo unashauri nifuate anachotaka mzee?
 
Hakikisha mzee unamuweka sawa hata ili akukubalie kiroho safi,,

Nilimaanisha usitumie elimu uliyo nayo kupuuza command ya mzee,,

Usilazimishe kuoa kabula hajakubali MAKUBWA YATAKUPATA JAPO SIKUTISHI nina reference wala co ya kusimuliwa
Poa mkuu nimekupata vizuri tu.. 9
 
akili yako inafanana na jamaa mkurya tumepiga nae advance cha ajabu anasoma CBG na anatetea kukeketa nikaona kumbe siyo kosa lake mila na tamaduni alizokulia
Ogopa sana mila mkubwa, zina upotevu sana wa muda
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom