Baba yangu anamuita mke wangu “wewe”; inaleta mtafaruku

ktroshaban

Member
Nov 6, 2015
42
92
Mke wangu tunaishi naye nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa. Nimekaaa naye yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja. Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita "wewe" badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumuita mke wangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
 
Mwanzo 2:24

Kwa hiyo Mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja.

Ni kosa kukaa kwa baba yako na mkeo.
Lazima mmoja atamdharau mwenzake.
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
 
Toka kwenu nenda kapange kijana mambo mengine ya kujitakia tu na pia dingi yako anakosea.
𝐍𝐀𝐊𝐔𝐒𝐇𝐔𝐊𝐔𝐑𝐔 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐤𝐨𝐨𝐥 𝐭𝐡𝐞 𝐠𝐚𝐧𝐠
𝐇𝐢𝐥𝐨 𝐧𝐝𝐢𝐥𝐨 𝐚𝐥𝐨𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐚𝐤𝐢𝐥𝐢𝐥𝐚𝐥𝐚𝐦𝐢𝐤𝐢𝐚 𝐦𝐤𝐞𝐰𝐧𝐠𝐮
𝐍𝐀𝐒𝐇𝐔𝐊𝐔𝐑𝐔 sana
 
We unaona ni sawa mtu kuitwa wewe. We baba yako anakuitaje?
Kwanini unaowa unaendekea kukaa nyumbani kwenu muda wote huo.
Vijana fanyeni kazi hata kulima bustani panga hata chumba kimoja uwe huru kwako. Sasa hapo utakuwa lini?
Usiogope majukumu fanya kazi.Kazi sio lazima uajiliwe fungua hata genge basi.
Hiyo kodi utamsaidia kulipa siku akikwama
 
Mke wangu tunaishi nae nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa.

Nimekaaa nae yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja.

Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita wewe badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumwita mkewangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Hamjafanikiwa kupata watoto?
 
Kama unakaa om hama mzee wangu! Kwann ukae om na mtarajiwa wako ndo sababu mzee anazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Kajitegemee, miaka Sita yote hiyo bado unadinyana na mkeo kwenye nyumba ya baba yako tu?🙄🙄
Au unasubir majanga zaidi?
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Kuwa mtoto wa mwisho ndo nini mkuu? Acha utoto mzee toka apo om hakuna ushauri zaidi ya wewe kusepa na hutosikia tena izo kauli na siku mzee atamtongoza mkeo unamuaminije mwanaume kwenye suala la mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom