Baba yangu anamuita mke wangu “wewe”; inaleta mtafaruku

Mke wangu tunaishi nae nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa.

Nimekaaa nae yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja.

Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita wewe badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumwita mkewangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Hama kapange kuepuka hiyo kuitana wewe

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Ki ukweli anakosea sababu inaweza ikawa:
1.Pengine mkeo bado mtoto Sana na Baba yako ni mzee sawa na babu yake
2: au jina lake ni gumu hivyo mzee ameshindwa kulikariri
3:Mke wako mi mcharuko
4:Ana tabia za kitoto na hajiheshimu au haeshimu wazazi wako
5.Mzee ana tabia za ubabe na ukali

Suluhisho ni kuhama hapo nyumbani au kumvuta sikio mzee na kumkumbusha jina la mkwewe,au uoe na uzae Mtoto amwite mama fulani. Ama pia unaweza kumtumia Mama yako amueleze kiustaarabu.
 
Mke wangu tunaishi nae nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa.

Nimekaaa nae yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja.

Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita wewe badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumwita mkewangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo

Baba yako hakuheshimu. Na kwa kitendo hicho atapoteza faida nyingi sana toka kwako.

Kaa naye mwambie kwa upole aelewe anachokifanya hakikupendezi wewe siyo tu mkeo.
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mke wangu tunaishi nae nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa.

Nimekaaa nae yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja.

Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita wewe badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumwita mkewangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo

Sio sahihi, umwelekeze aanze kuita mpenzi au awe anasema kipenzi changu hapo hata mke wako atafurahi,
 
BABA NI KWAKE ........
NAOMBA USHAURI KAMA NI SAHII AMA LA
KUSUD NIJUE
NIAMUE
Wewe babako anakuitaje? tuanzie hapo kwanza.
Pili wewe huyo sio mkeo kwakuwa hamjafunga ndoa ni mwenzako tu.
Tatu, je wewe na huyo mwenzio mmezaa mtoto/watoto? Kwani angekuwa na mtoto baba angemuita mama J, au mama Junior lakini kama hana ndio maana mzee kwa hasira anamuita tu wewe mwanamke njoo.
Dawa hapo ili usisikie hiyo habari ni kuhama tu, kama vipi mhamie hata nyumbani kwao mwanamke ili tuone kule wewe watakuitaje.
 
Mke wangu tunaishi nae nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa.

Nimekaaa nae yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja.

Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita wewe badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumwita mkewangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Hama hapo nendeni mkatafute makazi yenu. Uenda baba yako kaomba mzigo katolewa nje.
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Tena baba yako kuna neno analisemea rohoni ina maana anamuita "wewe maku" jiongeze kama wewe ni mtoto wa mwisho kwanini unaishi na mwanamke.
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Kwamba mtoto wa mwisho unasubiri Mzee wako afe urithi huo mji au?

Sijaelewa huo utoto wa mwisho umeingiaje hapo
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Matoto ya mwisho mnadeka sana nyie,,,kwa hyo huyo mkeo hua unamgongea hapo hapo kwny nyumba ya babako duh watu mna mambo nyie!
FB_IMG_1631036974940.jpg
 
Back
Top Bottom