Baba yangu anamuita mke wangu “wewe”; inaleta mtafaruku

Kabla ya yote !!!
Hama hapo nyumbani kwenu
 
Mkuu mama yako yupo hai? Mimi sikushangai suala la kukaa nyumbani kama nyumba kubwa na hambanani. Kuna watu wanataman kuishi na wazaz wao majumban mwao wawahudumie uzeeni sema nyumba ndogo na wazee wengine hawapendi kuondoka kwenye miji yao.

Turudi kwenye mada kuu. Mwambie baba asimuite mke wako wewe maana ana jina lake.
 
Mke wangu tunaishi naye nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa. Nimekaaa naye yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja. Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita "wewe" badala ya jina lake.

Je, ni sahihi baba yangu kumuita mke wangu "Wewe"?

Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Hama home....
 
Ila bro hata Kama maisha magumu ndo miaka yote hyo 6 ukae na mkeo kwa wazazi? Tafuta hata chumba Cha Bei ndogo kapange uishi na mkeo...Kuna uwezekano mshua kawadharau wewe na mkeo ndo Mana hayo yanatokea...
 
Hivi hata Ela ya chakula unatoa kweli? Jitafakari
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Hakuna sehemu inasema mtoto wa mwisho ndiyo ataishi na Mke wake nyumbani kwao,hiyo ni wake up call,kwamba Mzee hawataki wewe na Mke wako!

Ondoka nyumbani,nenda kapange chumba kimoja,anza maisha,chumba hata cha Tshs 10,000 kwa mwezi,ili kuepukana na hizo mishe za Mzee! Kuna siku atamshika kalio mkeo!
 
Ila bro hata Kama maisha magumu ndo miaka yote hyo 6 ukae na mkeo kwa wazazi? Tafuta hata chumba Cha Bei ndogo kapange uishi na mkeo...Kuna uwezekano mshua kawadharau wewe na mkeo ndo Mana hayo yanatokea...
Kweli we ni BOGUS....ningekuwa mimi ni baba yako na kwa sababu haujitambui , wote wawili ningekuwa nawaita ' NYIE KENGE' au 'WEWE KENGE'
 
Kuna ndege wanaitwa Tai akishaota mbawa wakati anakaa kwenye tundu alipototolewa, wazazi wake uweka miba ili ikimchoma na kumtaabisha aamue kuruka na kuondoka kwenda kujitegemea. Ndio kanuni anayotumia baba yako. Jiongeze uondoke hapo
 
Ila wazee kuna wazee wengine kichefuchefu sana basi tu ndo wazee wetu.
 
NASHUKURU SANA..........ILA UGUMU WA MAISHA NDUGU.........HAPA NATAFUTA KAZI SIKAI NIKAMALIZQ SIKU NYUMBN............ALAF NIONGEZEE TU......MIMI NI MTOTO WA MWISHO......SAMAHAN KUSEMA HVO.............NATAKA NIJUE TU NI SAHII KUITWA HVO AU LA
Kwa nini hamfungi hata ndoa ya mkeka? Huna ndoa naye kwa miaka 6 lazima mshua amdharau tuu, na mbaya zaidi huna hela [emoji12][emoji12]
 
Mzee yupo SAWA, hawez kumuita mkwe sababu hujamuoa, pengine anakasirika hakuambii tu akikuangalia anaona bado hujaweza kujimudu unakimbilia familia. Ukweli ni mchungu, ila ukiamua kukaa na mwanamke km mke inatakiwa uwe kwako either kwa kupanga au kujenga, sio unakula mtu kwenye nyumba yake na amuheshimu.
 
Back
Top Bottom