ktroshaban
Member
- Nov 6, 2015
- 42
- 92
Mke wangu tunaishi naye nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa. Nimekaaa naye yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja. Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita "wewe" badala ya jina lake.
Je, ni sahihi baba yangu kumuita mke wangu "Wewe"?
Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo
Je, ni sahihi baba yangu kumuita mke wangu "Wewe"?
Naombeni mawazo yenu niweze kutatua hili jambo