Baba yangu ameparalyse upande mmoja na hawezi kuongea

Baba yangu ameparalyse upande mmoja na hawezi kuongea

Na lazima utumie tin peak milk pekee kuchanganya na hayo majamaji ya konokono? yaani siwezi kutumia aina nyingine ya milk?
I think maziwa yoyote ya maji ya box au kopo Sina hakika kuwa ni lazima iwe ile ile brand ya Nigeria though kama utaipata hapa Tz sio mbaya
 
Attachments

  • 1E1460A8-4FAB-4043-B5A6-6129B5BAD05C.jpeg
    1E1460A8-4FAB-4043-B5A6-6129B5BAD05C.jpeg
    69.9 KB · Views: 13
Daah pole sana dadaa mimi nlishaona amepona hio lakin alitibiwa kwa dawa za asili kama upo dsm naweza kukuunganisha na huyo dr
Naomba na mimi niunganishe kwasababu mmi wa kwangu alipata upande wa kushoto toka 2014 mwishoni mpaka leo ila alikuwa anatembea kwa kujikongoja ila siku hadi siku nguvu zinamwishia
 
Naomba na mimi niunganishe kwasababu mmi wa kwangu alipata upande wa kushoto toka 2014 mwishoni mpaka leo ila alikuwa anatembea kwa kujikongoja ila siku hadi siku nguvu zinamwishia
Pole sana kwa matatizo namba yake hio hapo 0685184148
 
Habari madoctor na waganga wauguzi wa JF

Mwenzenu nimeamka na taarifa sio nzuri kiupande wangu baba yangu ameparalyse upande mmoja na hawezi kuongea miezi mitatu nyuma alifiwa na dada yake wa pekee alipohudhuria msiba baada ya kuzika siku ya tatu yake akawa anauliza majirani hapa nini kinaendelea mbona watu wamejaa..

Pole sana sana.
 
Wakuu Spectophotometer na kabwigwa mimi nimekuwa interested sana na hiyo tiba ya kiharusi kwa kupitia mdudu konokono.

Ila nina maswali naomba mnisaidie kujibu (kama mnaweza);

1.Konokono anajulikana kuwa ni vector (mbeba vimelea mshuhuri) wa magonjwa mengi mengi tu. Na kwavile hatumchemshi/kumtokosa katika tiba hiyo ili kuua vimelea vingine anavyoweza kuwa amebeba, hatuoni kwamba tunaweza kumwambukiza mgonjwa wetu wa Stroke maradhi mengine kutoka kwa huyo konokono?

2.Kuna ushuhuda wowote kuwa kuna watu wameshatumia tiba hiyo na ikaleta ufanisi?

Note:Sijaribu kukosoa tiba hii bali nahitaji kujiridhisha zaidi ili nami niitumie kwa mgonjwa wangu,ambaye ameteseka sasa kwa miezi takribani minane.
 
Mwaka jana,

Mama wa staff mwezetu, alipata stroke amepona.

Rafiki wa mjomba wangu, alipata stroke amepona.

Naamini kwa baraka za Mungu, baba yako atapona "Amin".
 
Huu ugonjwa ulimpata baba yangu mwaka 2013...kusema ukweli hatujui ni dawa gani ilimponesha ila ninachoweza kukushauri ni kwamba jaribuni kutumia dawa nyingi za mitishamba huku mkiwa mnamfanyisha mazoezi na kumchua...si haba hadi sasaivi anatembea umbali mrefu japo kama anaburuza mguu mmoja na anaongea lakini maneno anasahau...

Cha kukushauri kazana kufata tiba yeyote mtakayo ambiwa..atakuja mtu atakwambia konokono dawa tumia, mwengine atakwambia vitunguu swaumu sijui mafuta ya mnyonyo basi tumiaa...yaani utakuja kushutka ameanza kupata nafuu
 
Wakuu Spectophotometer na kabwigwa mimi nimekuwa interested sana na hiyo tiba ya kiharusi kwa kupitia mdudu konokono...
Sijajua ishu ya snail na magonjwa But labda maziwa yanasaidia Ndio maana wana mix na evaporated milk.Ila West Africa snail ni chakula pended sana.Bro hivi vitu tunavisoma kwa watu ambao ni maherbalist as long as sio sumu hata ukijaribu na usipopona hakuna unachopoteza.Remember “A drawning man will clutch at a straw”
 
With thanks Mkuu,

Jambo la muhimu ni kupona na hata kama hao snails wana madhara kidogo hakuna shida, minor infections sio issue hata kidogo, it's a major recovery that counts most!

Nitafanya hiyo tiba kwa mgonjwa wangu,kwanza haina gharama ukilinganisha na gharama nilizokwisha tumia huko kwingineko.
 
Habari madoctor na waganga wauguzi wa JF

Mwenzenu nimeamka na taarifa sio nzuri kiupande wangu baba yangu ameparalyse upande mmoja na hawezi kuongea miezi mitatu nyuma alifiwa na dada yake wa pekee alipohudhuria msiba baada ya kuzika siku ya tatu yake akawa anauliza majirani hapa nini kinaendelea mbona watu wamejaa..!? ilibidi wamshangae wachache wakamuelewesha kinachoendelea baada ya wiki kuisha ilibidi arudi kwake..
Kumbe bado mdogo! Atapona tu kwa mazoezi na dawa
 
With thanks Mkuu,

Jambo la muhimu ni kupona na hata kama hao snails wana madhara kidogo hakuna shida, minor infections sio issue hata kidogo, it's a major recovery that counts most!

Nitafanya hiyo tiba kwa mgonjwa wangu,kwanza haina gharama ukilinganisha na gharama nilizokwisha tumia huko kwingineko.
Yes bro!binafsi huwa napenda kusoma But kuwa na uhakika 100% kuhusu tiba husika mpaka aliyeitumia atoe ushahidi.Hope utatupa mrejesho Uwe positive au negative.Ikiwa positive tutakua tumewasaidia sana wanaoteseka na huu ugonjwa.
 
Naomba nichangie kwa sababu miaka 10 iliyopita babu yangu alipata stroke uoande wa kushoto na alikua hawezi kuongea na hawezi kuamka hata kumbukumbu zilipotea kidogo.

Ndugu zangu walichofanya walimpeleka hopsitali moja ipo mkoa wa Njombe wilaya ya Makete, inaitwa Ikonda ( ipo kijijini lakini ni nzuri sana na imepewa status ya Regional hospital).

Niliwahi kwenda kumcheki babu yangu wakati anatibiwa ukweli madaktari wapo vizuri sana.

Kuna dawa walikua wanampa kila siku, lakini pia wana sehemu za mazoezi nzuri sana kama gym za kawaiada na kuna watu maalum wa kufanyiza mazoezi). Sijui kama hospitali nyingine wana facilities kama hizi.

Babu yangu alikaa hopsitalini hapo kwa miezi kama 4 kuanzia mwezi June hadi Nov .

Sasa hivi ni mzima na anaongea vizuri japo bado anatembelea stick support japo hata uzee nao unachangia.

Uzuri wa hiyo hospitali ni kwamba gharama zake zipo poa sana na mazingira yake ni mazuri sana.

Wana vyumba vizuri ssna vya private bei yake haizidi 30,000 kwa siku .

Wana vitendea kazi vizuri sana kuwasaidia wenye matatizo kama hayo.

Changamoto kubwa ni umbali.. kwa sisi tunao toka kanda ya ziwa hadi Njombe makete si rahisi lakini uzima wa mtu ni bora kuliko fedha.

Muhimu

Mwahishe hospitali kabla mishipa na mifupa haijalemaaa.
 
Pole sana ndugu! Zingatia tiba zilizoshauriwa humu ndani hasa hizo za kienyeji na kutibia magonjwa ambatanishi km pressure nk! Mungu awasimamie na mgonjwa apate kupona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom