Sasa unataka Julia tena.After one week everything will be back to normal or I should just give a try please tell me moree ,please can't hold my tears [emoji1488][emoji1488]
[emoji3][emoji3] yaani kazidi kumkatisha tamaaMwenzako ameomba tumfariji wewe unaleta post ya experience yako? Why?
Fighter.[emoji122]Hilo lilimpata mama yangu mwaka jana mwezi wa nne sitasahau aliparaiz upande wa kulia , halafu sina mke ilikuwa shughuli , lakini MUNGU alisimamanami na kujikita zaidi katika vipimo vya kitaalamu , japo nilipigana na ndugu ila kwa msimamo dhabiti waliheshimu...
Pole sana Mleta mada ,ila kuwa makini na watu wa aina hii wasije wakakugeuza fursa.Daah pole sana dadaa mimi nlishaona amepona hio lakin alitibiwa kwa dawa za asili kama upo dsm naweza kukuunganisha na huyo dr
Huo mchanganyiko unakunywa, unachua, au unafanyaje?Pole sana mkuu. Jaribu hii.View attachment 1602053View attachment 1602054
Unakunywa mkuuHuo mchanganyiko unakunywa, unachua, au unafanyaje?
Maana Prescription inasema tu tumia mara kadhaa kwa usiku,mchana,n.k ila haisemi unatumia kwa kunywa,kujipaka,kujichua au la.
Na lazima utumie tin peak milk pekee kuchanganya na hayo majamaji ya konokono? yaani siwezi kutumia aina nyingine ya milk?Unakunywa mkuu