Mchungaji mstaafu wa kanisa la Moravian huko Rungwe, mzee Mwakasege amefariki leo Hindu Mandal Hospital. Mzee huyo ndiye baba mzazi wa Mwl na Mhubiri maarufu Christopher Mwakasege.
Ibada ya kuaga mwili wa Mch. itafanyika kanisa la Moravian Mabibo jirani na Chuo cha Usafirishaji.
Kwa heri Mch. na asante kwa utumishi wako mwema, vita umevipiga na imani umeilinda