Baba yake Mwl Christopher Mwakasege afariki duniani

Kintiku

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
617
318
Mchungaji mstaafu wa kanisa la Moravian huko Rungwe, mzee Mwakasege amefariki leo Hindu Mandal Hospital. Mzee huyo ndiye baba mzazi wa Mwl na Mhubiri maarufu Christopher Mwakasege.

Ibada ya kuaga mwili wa Mch. itafanyika kanisa la Moravian Mabibo jirani na Chuo cha Usafirishaji.

Kwa heri Mch. na asante kwa utumishi wako mwema, vita umevipiga na imani umeilinda
 
Haina maslahi kabisa, tena headinmg ingesema baba mazazi wa C. mwakasege afariki dunia. Sijui tatizo ni shule
 
Kwanza umeandika tetesi lakini habari inaonyesha wajua hadi wapi wanaaga mwili.

Anyway: poleni wafiwa
 
Acha za kuleta kwa kupaza sauti hapa. Huo msiba ni wa kwenu acha kutafuta rambi rambi kwa watu tusiomjua huyo!!
 
Vp mkuu mbona unatustua na heading kama hizo c ungeandika2 Baba mzazi wa ** kafariki dunia! Pole yao Mungu amrehemu.
 
mkuu ungeandika newz alert ssa mara tetesi ukifungua siredi yako unajua kila kiiitu juu ya msiba,we viiip
 
Haina maslahi kabisa, tena headinmg ingesema baba mazazi wa C. mwakasege afariki dunia. Sijui tatizo ni shule

Sio kosa lako- utakuwa mtoto wa nje uliyezaliwa Baba DJ na mama CK
 
Mess
mara ya mwisho kupitia washikaji pale muhimbili ni lini???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom