Baba yake Barrack Obama alikuwa pandikizi la CIA

Dunia yakoo

Senior Member
Nov 23, 2019
139
214
'Baba' yake na Obama ni kwamba alikuwa ni mmoja wa watu kadhaa waliotumiwa na CIA kwa ajili ya kusimamia mpango ambao utazuia siasa za ukomunisti kutoka China na Muungano wa Sovieti usiingie Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla.

Kennedy Foundation ilikuwa ikitoa pesa walizo ziita za ‘msaada’ kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi kutoka nchi za Afrika.

September 12, mwaka 1960 Shirika la habari la Reuters kutoka London liliripoti kuwa mpango unaoitwa Airlift ambapo fedha za Kennedy Foundation kwa ajili ya kuwasomesha watoto wa kiafrika Ulaya na Amerika si chochote bali ni mpango wa CIA kwa ajili ya kutoa mafunzo na kuwaanda vijana wa baadae wa kiafrika watakaotumika kwenye mapambano ya kisiasa dhidi ya China na Umoja wa Kisovieti kuzuia ushawishi wa kikomunisti kulimeza bara la Afrika.

ObamaSnr.jpg
 
Jazia nyama basi mkuu....ikiwezekana utuambie ikiwa huo mpango ulifanikiwa au la ?
 
'Baba' yake na Obama ni kwamba alikuwa ni mmoja wa watu kadhaa waliotumiwa na CIA kwa ajili ya kusimamia mpango ambao utazuia siasa za ukomunisti kutoka China na Muungano wa Sovieti usiingie Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla.

Kennedy Foundation ilikuwa ikitoa pesa walizo ziita za ‘msaada’ kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi kutoka nchi za Afrika.

September 12, mwaka 1960 Shirika la habari la Reuters kutoka London liliripoti kuwa mpango unaoitwa Airlift ambapo fedha za Kennedy Foundation kwa ajili ya kuwasomesha watoto wa kiafrika Ulaya na Amerika si chochote bali ni mpango wa CIA kwa ajili ya kutoa mafunzo na kuwaanda vijana wa baadae wa kiafrika watakaotumika kwenye mapambano ya kisiasa dhidi ya China na Umoja wa Kisovieti kuzuia ushawishi wa kikomunisti kulimeza bara la Afrika.

View attachment 2258306
Na wewe pandikizwa ili baadaye mwanao awe rais wa Marekani.
 
Back
Top Bottom