Kuna watu humu ndani wanatafuta kila baya alilolifanya Nyerere na kuhakikisha wabalitupia hapa sijui kwanini...?
Anyway .Nyerere mwenyewe alikiri wakati anatoka Madarakani kwamba ktk uhai wake aliwahi kufanya mambo mengi ya kipuuzi na ya kijinga. Ila akasema kama mnataka kuishi vema basi yapuuzeni yale Mabaya na muyaishi yale Mazuri. Cha ajabu watu humu ndani kila siku Nyerere Nyerere.... Jamani mwacheni Mzee apumzike mahala alipopumzishwa na Mungu iwe ni Mbunguni ama Jehanamu (Sisi ni binadamu wala si Malaika) Hatujakamilika kwa lolote.
Wewe angalia maisha yako.. Je kuvuta sigara ni haki kwako ama siyo... Usivute kwasababu Nyerere hakuvuta (Angalia lililojema kwako) Wala mtu asikulazimishe kuvuta kwasababu Nyerere alivuta (Angalia lililojema kwako) Siku ya mwisho ni wewe utakayesimama mbele ya kiti cha enzi ukijibu kulingana na ulichotenda duniani (Nyerere hatakuwepo hapo) Tujifunze kuyaishi yaliyomema na yale Maovu yawe changamoto kwetu
Jambo lililowazi hatatukimshusha hadhi Nyerere kiasi gani, hakuna atakayeweza kufikia hadhi aliyonayo
Nyerere Tanzania na Duniani kwa ujumla.
Asante.
BACK TANGANYIKA[/Qmi nimeanza kuvuta 1996 na huwa sioni kama ni dhambi ukiacha madhara ya kiafya. Acha kudivert fikra za watu kwamba kuna lengo baya, ukiwa philosopher hufi na ndio maana unajadiliwa. tunapomjadili philosopher hatutumii past tense ila simple present maana yake ideas zinaishi. Binafsi ningalipenda nikifa nijadiliwe nisisahaulike kila saa kila siku nijadil