Baba wa taifa Mwalimu JK Nyerere aliwahi kuvuta sigara?

Baba wa taifa Mwalimu JK Nyerere aliwahi kuvuta sigara?

Hongera, kaza buti, sigara kuishinda ni rahisi sana, ni kurekebisha mindset yako tu then you win, download app inaitwa quit now, ipo play store, soma makala zinazoelezea faida za.kuacha, you will love it, nina mwezi sasa sijavuta baada ya kuvuta kwa miaka, kujaribu kuacha mara kadhaa bila mafanikio.

Lakini this time naona kama nitashinda, sigara ni mbaya sana, najisikia tofauti sana baada ya kuacha.

Hata asubuhi gangu ni tofauti sana na zamani.

QUIT NOW!

Na castle rite za baridi ni mbaya?
 
Angalia mambo anayofanya makongoro ndio utajua nyerere alikuwaje
 
Angalia mambo anayofanya makongoro ndio utajua nyerere alikuwaje

Hivi unajua ukoo wa Nyerere wana kichaa cha kurithi? Kichaa cha mwalimu kilikuwa kinakimbilia kwenye kuongea.
 
bangi na sigara anatumia Prof.Muhongo na team yake wote.
 
Back
Top Bottom