FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,799
Ukiamuwa kufunguka ongea yote acha kuficha wakati hata papuchi ulimuuzia pia.
Hayo atakuelezea Yericko Nyerere.
Last edited by a moderator:
Ukiamuwa kufunguka ongea yote acha kuficha wakati hata papuchi ulimuuzia pia.
Ndiyo ni issue ya kujadiliwa na Great thinkers, just keep following utashangaa unajifunza mambo ambayo hukupata kuyafahamu kabla, hata kama sio wewe nina hakika wapo watakaojfunza Jambo.
Shule hamjafungua bado?
Ahsante kwa kuniita nilikuwa sijauona kuna makafir huko waliniweka bize.
asante mi navuta nimeanza mkakati wa kuacha ila nakuwa kama naumwa na viungo vinavuta kama nimetoka mazoezini. Pia ni kiongozi wa kisiasa wafuasi wangu wananishauri niache fegi sasa sijui nikivuta wao wanaona inanipunguzia nini.ila nimeacha mvinyo kwa lengo la kuacha fegi nasoma sana vitabu na kusoma majadiliano hapa JF
Ipo mkuu!nyota aka sigara kali
Nilikua napitia gazeti la Drum la nikaona picha ya nyerere akiwa ameshika sigara inawaka, jambo hili sikuwahi tena kusikia wala kuona pahala pengine. Huwa linanipa mawazo sana juu ya ni nini hasa nilichokiona.
Jbu Ni Ndiyo Alishawahi Kuvuta, Marxists ilikua n kama principle kuvuta, ndio maana hata mm mwenye imani ya mlengo wa kushoto najiona cjitendei haki kutovuta, yan nikimalza chuo n mwendo wa fegi
Na ndiyo maana nyuzi nyingine tunazifatilia kimya kimya. kuna kitu cha kujifunza hapo.
Huu U-great thinker wenu mnaoushikia bango has gone too far sasa inakuwa vichekesho. Ukijadili smoking habits za kiongozi kama Rais kuna tatizo gani? Nashauri Jaribu ku-google Obama's smoking habits utashangaa greater thinkers na magazeti kibao yenye hadhi yalivyojadili.
Hivi kuna mtu wa Musoma ambae havuti bange na sigara?
Oooooh, bibie kumbe hata wewe huwa unazunguza lugha hizo....?
BACK TANGANYIKA
Na ndiyo maana nyuzi nyingine tunazifatilia kimya kimya. kuna kitu cha kujifunza hapo.
Jbu Ni Ndiyo Alishawahi Kuvuta, Marxists ilikua n kama principle kuvuta, ndio maana hata mm mwenye imani ya mlengo wa kushoto najiona cjitendei haki kutovuta, yan nikimalza chuo n mwendo wa fegi
Smoking habits za miaka ya hamsini za marehemu aliyekufa na kuzikwa zaidi ya miaka kumi iliyopita zinakusaidia nini ndugu crocodile? Just thinking aloud!
wavutaji wana busara sana ni wawekezaji wazuri na wanaumoja