Baba wa taifa Mwalimu JK Nyerere aliwahi kuvuta sigara?

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,957
Reaction score
8,005
Nilikua napitia gazeti la Drum la nikaona picha ya nyerere akiwa ameshika sigara inawaka, jambo hili sikuwahi tena kusikia wala kuona pahala pengine. Huwa linanipa mawazo sana juu ya ni nini hasa nilichokiona.
 
Katika hizo picha anaonekana akiwa katika mazingira amezungukwa na maafisa wa serekali akiongea nao huku mkono wa kushoto ameshika mche unaungua . Sijui ilikua sigara gani. siku moja nikamuuliza jamaa yangu kuhusu hiyo picha akanionya acha usije kuuliza utafungwa
 
Nyerere baba wa Taifa , alipokuwa anavuta sigara alikuwa anavuta sigara aina ya CLIPPER bila kichungi!!Siku hizi aina hiyo ya sigara haipo!
 
Nilikua napitia gazeti la Drum la nikaona picha ya nyerere akiwa ameshika sigara inawaka, jambo hili sikuwahi tena kusikia wala kuona pahala pengine. Huwa linanipa mawazo sana juu ya ni nini hasa nilichokiona.

Ukiona tena lichome mi ntalipa mkuu
 
Hivi hii ni issue ya kujadiliwa na Great Thinkers!!!? This is too low for JF!

Huu U-great thinker wenu mnaoushikia bango has gone too far sasa inakuwa vichekesho. Ukijadili smoking habits za kiongozi kama Rais kuna tatizo gani? Nashauri Jaribu ku-google Obama's smoking habits utashangaa greater thinkers na magazeti kibao yenye hadhi yalivyojadili.
 
Nyere was a great thinker Who passed away some decades ago most of our youth arent aware of his background particularly when it comes to personal life and attitude.Remember smoking or not smoking is something of a concern to people especially wth regard to their leaders upo ndugu?mimi navuta na nimewahi kuwa kiongozi naelewa maana ya ninachokiandika. Kila siku nashauriwa kwanini usiache
 
Huu U-great thinker wenu mnaoushikia bango has gone too far sasa inakuwa vichekesho. Ukijadili smoking habits za kiongozi kama Rais kuna tatizo gani? Nashauri Jaribu ku-google Obama's smoking habits utashangaa greater thinkers na magazeti kibao yenye hadhi yalivyojadili.
Smoking habits za miaka ya hamsini za marehemu aliyekufa na kuzikwa zaidi ya miaka kumi iliyopita zinakusaidia nini ndugu crocodile? Just thinking aloud!
 
Back
Top Bottom