Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,209
Hivi kuna mtu wa Musoma ambae havuti bange na sigara?
Hasa werema na mhongo ndo wanavuta hadi wanatafuna bangi
Hivi kuna mtu wa Musoma ambae havuti bange na sigara?
asante mi navuta nimeanza mkakati wa kuacha ila nakuwa kama naumwa na viungo vinavuta kama nimetoka mazoezini. Pia ni kiongozi wa kisiasa wafuasi wangu wananishauri niache fegi sasa sijui nikivuta wao wanaona inanipunguzia nini.ila nimeacha mvinyo kwa lengo la kuacha fegi nasoma sana vitabu na kusoma majadiliano hapa JF
Hivi hii ni issue ya kujadiliwa na Great Thinkers!!!? This is too low for JF!
Soon tutasikia MTU akiuliza HIVI OBAMA ANAJAMBAGA?
Warioba ndio anavuta sigara mpaka leo
Warioba ndio anavuta sigara mpaka leo
Muongo anavuta nn na ya wapi?nauliza tu
Hivi kuna mtu wa Musoma ambae havuti bange na sigara?
Nilikua napitia gazeti la Drum la nikaona picha ya nyerere akiwa ameshika sigara inawaka, jambo hili sikuwahi tena kusikia wala kuona pahala pengine. Huwa linanipa mawazo sana juu ya ni nini hasa nilichokiona.

Ahsante kwa kuniita nilikuwa sijauona kuna makafir huko waliniweka bize.
Mimi binafsi yangu nimeshamuuzia sigara karata. Alikuwa anavuta.
Wakati wa ujana wa akina Nyerere ilikuwa kuvuta sigara ni kuonekana umeendelea kwani hilo lililetwa na wazungu na unajuwa tena Miafrika kwa wazungu, hatuna ujanja. Hata baya mradi anafanya mzungu au aliyetoka kwa wazungu basi kwetu ni "cool" hadi hii leo. Hujaziona KK wewe mitaani?