Baba V acha mkwara....!!

Baba V acha mkwara....!!

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,932
Nilikuwa na mpango wa kuomba undugu kwa familia hii ya Baba V lakini huu mkwara umenikimbiza........

1011760_10151545747893929_1859441051_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
whatever you do to her i will do to you! Mmmmm haka kajamaaa ni kamende aisee!

ha ha ha ahaaah!! Hapo ndio pagumu mkubwa, yaani nikimnanihii, nami nafanywa hivyohivyo......haiwezekani.
 
Kuna kipindi manoah alimpindua,ilikuwaje tena?

Hakukwambia kilichomtokea mwanao!?? alikuwa na jinsia ya tofauti kwa siku tatu na siku mojawapo akaenda anga za juu (to the moon)
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwani nina tatizo na wewe??

Just understand . . . hata kama ningekuwa na chuki na wewe bado maadili ya kazi yangezingatiwa.
Si kwako tu, hata kwa wengine pia.
Ofcourse for the public interest.

BTW; Habari yako binafsi?

lol! nipo poa,nimekumiss,glad u r back, i hope usharecover fully
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom